Recent content by lalcao

  1. lalcao

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Mkoa, Wilaya na Tarafa mpya za Tanzania

    Daah jamani Mimi nipo nyuma kidogo,, naomba kujua Jonh mnyika anaathirika vipii
  2. lalcao

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Basi hapo Pima yakiwa katika chombo, baadae Pima chombo tupu af utoe uzito wa kwanza na wapili
  3. lalcao

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kwa kumbukumbu zangu yanachange mass kijanaa kama una vitabu tafuta mambo ya ANOMALOUS EXPANSION OF WATER
  4. lalcao

    JamiiForums Tanzania Mama ameniambia mpenzi wangu hanifai, nifanyeje?

    Mimi nakwambia jifikirie
  5. lalcao

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Jamani mi nataka kujua kwa mtu ambaye o'level amepata F ya math lakin masomo mengne yte ana B,B+ na C moja,, je Ananafac ya kusoma CBG/PCB huko A'level?
  6. lalcao

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    nisaidieni kwa hili jamani
  7. lalcao

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Hivi jamani kwa mtu aliye balanc comb zote ila kasoro znazojumuisha math na Math ana 'F' anawez kuchaguliwa PCB au CBG???
  8. lalcao

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Hivi kwa mtu aliyebalanc comb zote kasoro zenye mathematics na anasoma science,, halaf Math ana 'F' je anaweza kusoma CBG au PCB?????
  9. lalcao

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Hiyo haiwezekani utaenda private maan nlion barua moja ktk tovuti ya wizara ikisa wanachukua kuanzia 1.6
  10. lalcao

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vidal laznlma atue kwan dau lililowekwa ni dogo mno
  11. lalcao

    JamiiForums Tanzania Wachina wengi wanaamini weusi (Waafrica) tuliunguzwa na Jua

    Mmhh hilo ni tatizo
Back
Top Bottom