Recent content by lael jackson

  1. L

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    habari za wakati huu wadau,naomba kujuzwa/kueleweshwa zaid kuhusiana na kilimo cha migomba mwenye kufahamu plz nini changamoto zake,aina ya migomba,maradh nk asanten
  2. L

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    sir peter a.k.a sir assume hongera kwake stik nying mpaka tukajua math much respect to him mana dah bila zile fimbo cjui ingekuaje mana co kwa hesabu hz za chuo bila kuwa na msing mzur ingenicost sana
  3. L

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    cjakuelewa mkuu labda ungejaribu kupitia tena ujumbe wangu then ujibu maswali niliyouliza mkuu mwaka huu ctapata nafasi?asante
  4. L

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    mkuu naomba nisaidie kitu,nimechaguliwa hapo main campus ni diploma holder ila bdo cjaripoti chuo till 2day mana hali ya kiuchumi haijakaa sawa bado je nkienda kuripoti j3 kutakuwa na athar zozote je watakubali kuniregister?na pia chuo kimeshafunguliwa tayar? Asante
  5. L

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    poa nashukuru sana ubarikiwe,jina ni lenyewe
  6. L

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    mh m binafsi yangu bdo ngoja waje labda watatujuza
  7. L

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    asante kwa msaada but msiba mbna hapo kwenye no yangu umekosea ni 0051 na sio 0053 natanguliza shukrani
  8. L

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    naomba niangalizie plz S3533.0051.2012
  9. L

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    ardhi hakuna kituo pale sikuhizi panda gari ya feri shuka bunge then unaenda moja kwa moja utakutana na barabara inaenda moja kwa moja na kuna iliyoingia kushoto we kunja ya kushoto na jengo la kwanza ndo hapo wizara ya elimu
  10. L

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    mh kama ni kweli si wengi sasa tutapostpone kwanini wasitoe muda vikikamilika watapelekewa mbona ni mapema sana mana m juzi tu nimetoka fatilia wamesema bado.
  11. L

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    poa nashukuru mana wengine bado hatujaripoti
  12. L

    Wale wa Mzumbe mwaka wa kwanza uliza chochote hapa

    Kwa mlioripoti tayari mwisho wa kuripoti itakuwa lini?
  13. L

    Diploma Holder miaka 30 kukosa Mkopo ni ubaguzi

    hapo tu mimi ndo naumia nikikumbuka tabu niliyopata kwanza pesa ya kuapply huo mkopo ilikuwa shughuli bs 2 Mungu alisaidia now wanasema hatupewi kwanin wasingesema mapema kabla atujapoteza pesa zetu
  14. L

    Majina ya wanufaika wa mikopo Chuo Kikuu Mzumbe

    mbona kwangu hayafunguki?nimejaribu kudownload ila kwenye kufungua yanagoma
Back
Top Bottom