Sikuwahi kufikiria kwamba nchi inaweza kupata Mkuu wa nchi atayefanya watu Kibao masikini na matajiri wamkumbuke JK kwamba alikua ni kiongozi bora, binafsi namkosa sana mzee yule. Inadaiwa kipindi chake kulikua na ufisadi Mkubwa, lakini Watumishi wa Umma walikua Happy, wabeba zege walikua Happy Wafanya biashara walikua Happy, wanafunzi waliokosa mikopo Percentage wise ilikua ndogo kuliko hii ya sasa, na kama kuna kipimo cha kuonyesha Furaha ya Wananchi kwasasa na kipindi cha JK lazima kuna utofauti mkubwa, na inasemekekana Net Deficity ya pesa za Serikali Central Bank ilikua vizuri kuliko iliyopo sasa. Sitaki kuuzungumzia Uhuru wa Wapinzani na Vyombo vya habari katika kuikosoa Serikali