Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

msaada jamani niangalizie na hii namba maana huku niliko mtandao unasumvua saba s1166.0089.2011
 
[QUOTE="sime, post: 18435448, member: 375436"
Msaada Mkuu
S1487.0245.2011
 
na ukae ukijua hiyo sio zawadi ni jasho la walipa kodi , maana nakuona ushaanza kuwaambia wadogo wako kijijini wakutumie michoro ya viatu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nchekie mkuu hiyo s4515. 0053.2013
[http://olas]

Full Name : MUJUNI, PELINUS





Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA)2,099,500Books And Stationary (BS)200,000Field Practical and Trainings (FPT)0Tuition Fee556,000Research0Special Faculty Requirements (SFR)0TOTAL AMOUNT2,855,500

Online Help
 
School Name : KAGEMU [ S1482 ]

Full Name : ELIAS, ERICK





Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA)2,099,500Books And Stationary (BS)200,000Field Practical and Trainings (FPT)620,000Tuition Fee1,210,000Research0Special Faculty Requirements (SFR)0TOTAL AMOUNT4,129,500

Hivi hao Bodi ya Mikopo ina maana hawajui tofauti ya stationary na stationery!
 
habari ya asubuhi wana JF!!!

Tupeane habari kama kuna diploma holder yeyote aliye maliza mwaka huu (2016) na kapata mkopo....maana wengi wao waliopata mkopo mpaka saizi ni walio maliza miaka ya nyuma.

NAWASILISHA
 
FRESHERS LOAN ALLOCATIONS STATUS FOR 2016/2017

Enter your Form Four index Number Below.

Form Four Index No:


School Name : KAWE UKWAMANI [ S3533 ]

Full Name : JOHN, JACKLINE






The student with Index number 'S3533.0053.2012' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch.

Online Help
asante kwa msaada but msiba mbna hapo kwenye no yangu umekosea ni 0051 na sio 0053 natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom