Kuna diploma holder yeyote kapata mkopo had sasa

Kuna diploma holder yeyote kapata mkopo had sasa

Kwani si washaasemaa hawatoi mkopo kwa diploma holders
 
Daah ila tunasota vyuoni jaman watu wanashindia mihogo kwa cku Ada ni tabu pesa yakujikimu hakuna daar tunatabika vyuo vingine Ada mil 7 zitalipajwe au turud kijijin kulima viaz
 
Back
Top Bottom