Mhigwa one
Member
- Nov 5, 2016
- 60
- 46
Hongera bwana
Toa odder kabisa ya Kitimoto kilo mbili na mzinga wa grants tushushie maumivu yaliyotukuta mkuu!Jamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.
Daaaaah hapoooo sipaweziii mimsabatoooooToa odder kabisa ya Kitimoto kilo mbili na mzinga wa grants tushushie maumivu yaliyotukuta mkuu!
Form sixfreshers means 1st yia
Habari mkuuJamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.
Noo inamaanisha wale waliotoka moja kwa moja toka form six kwenda chuo. Sasa unavosema ni first year hata wale ambao wanatoka kazini na wanao diploma nao ni freshers? Freshers na fresh from school ni kitu kimoja.freshers means 1st yia
Waulizie wenzako waliokwisha kuripoti katika hivyo vyuo viwili waangalie majina yaliyo bandikwa katika vyuo hivyo watakwambia jina lipo chuo gani?Habari mkuu
Utajuaje mkopo wako umepelekwa chuo gani? Kwasababu mimi nilichaguliwavyuo viwili nimepata mkopo ila sijui chuo gani. Msaada mkuu
Okay shukraanWaulizie wenzako waliokwisha kuripoti katika hivyo vyuo viwili waangalie majina yaliyo bandikwa katika vyuo hivyo watakwambia jina lipo chuo gani?
Asante witnesaaHongera mwaya msiba
naomba niangalizie plz S3533.0051.2012Jamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.
naomba niangalizie plz S3533.0051.2012
Mkuu nchekie s4515. 0053.2013Jamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.