Recent content by LadySiera

  1. L

    JamiiForums Tanzania Afisa Biashara wa Jiji la Arusha asimamishwa kazi na Baraza la Madiwani

    Nimeipenda sana.je kama huyu muhusika na leseni wamemsimamisha,Hugo jamaa alojimilisha maduka muda wote huo atafanywa nini.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo aagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu ambao shule zao zilifanya vibaya

    vita vya walimu vina hali kama ya unyanyasaji.watu wanapewa watoto mia mbili darasani.hujarekebisha chochote unaanza kumfukuza huyo mwalimu.navojua mwalimu ana asilimia 50 Kielimu kwa mtoto na mzazi 50.siyo na sisi wazazi tutakuja kuitwa mashuleni na.kuchapwa viboko .shikamoo hapa kazi tu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo aagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu ambao shule zao zilifanya vibaya

    HUU UNAANZA KUWA UNYANYASAJI.WALIMU WALIKUWA WANAPELEKEWA WATOTO WASIOJUA KUSOMA,INTAKE ZAO BADO.HAZIJAISHA MASHULENI.KWA SKONDARI WANGETOA MIAKA MITATU YA KUTEKEBISHA HALI HIYO NA SII KUWASHUSHA VYEO.HUYO WANAEMUEKA WATAMSHUSHA TUU KWA HALI ILIVOKAA.HII NI ZAIDI YA KUKURUPUKA.NA IVI VYEO...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Leopard Tours kuandamana mpaka kwa mbunge Lema

    Duh!!!this is serious now.at least nimekuelewa.nimesikitika kwamba sheria za TATO zinawekwa kwa maslahi binafsi.kwa hali ya kawaida tu eti kupata TALA mpaka uwe na Land cruizer Tano!!!!inasikitisha.Hili siyo la kufumbiwa macho.hatuwezi kuendeshwa na sheria kandamizi zinazojali masilahi ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

    Mimi sijui ni kwa nini serikali yetu inajifanyaga wapenda suluhu sana.ni kitu gani tumekosa mpaka tufanyiwe aibu ya hivi.kama Kenya wamefanya haya bila taarifa.ni dhararu ambayo hana sababu ya kuongea au kutauta suluhu bil tahadhari.tufunge mpaka,ndo tuanze kutafutan suluhu,hii suluhu ya upande...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hili tapeli la ajira za tanapa

    Kuna jamaa mmoja anajiita mwanasheria wa Tanapa,na anajitambulisha kwa jina la Wambura.ni tapeli anapiga simu kwa uadanyifu akitaka utume kiasi cha fedha kwa ajili ya ajira.anakuwa na détails zote pale ambapo ulishwahi apply tanapa.wengi wameliwa hela.Mi mjumbe tu.hapa Mwanza kwetu wameshapigiwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki wamwibia mjane

    WagoWago mbona huyu kajieleza vizuri tu.kinahokuuma kwene maelezo yake ni nini?Ebu ni saidie na mimi hapa sheria ya mwaka gani ilianza kuzuia raia wa nje kumiliki ardhi mpaka kufikia mwaka 1993?na je?kama raia mgeni alishakuwa na ardhi kabla ya hiyo sheria, huwa inakuwaje kisheria?Chaga King...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Hiki ni kizuizi cha ulimwengu wa roho.utatuzi ni kupambana nalo katika ulimwengu wa roho pia.omba sana na usisahau kila faida unayopata peleka fungu la kumi kama sadaka ya kushukuru kwa wajane na yatima,wagonjwa na wasiyojiweza,na kanisani pia.kitu kingine ukifanya biashara,kila unachopata tenga...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki wamwibia mjane

    Benteke acha kuongea mambo ya ajabu.kuasi utawa kuna husika nini hapa?Halafu wewe huyo kijana huyo mama kutembeana wasichana Arusha ndo kunako sababisha kanisa catholic kumnyanganya mamayake eneo lake?Mbona maelezo yako hayana maana na kilichoelezwa.life stle ya mtu na choices zake,hazikuwa na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki wamwibia mjane

    mbona watu wanakuwa hawana busara,acheni ushabiki usiyo wa msingi.mi mwenyewe ninajua habari hii kw undani.hakuna mzungu aliekaribishwa pale bwana.yule jamaa alikua mmiliki halali wa eneo lile ambalo lilikuwa la familia baada ya kuwa na mtoto na yule mama ambae ni kweli alikuwa nesi pale.ndo...
Back
Top Bottom