Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Hiki ni kizuizi cha ulimwengu wa roho.utatuzi ni kupambana nalo katika ulimwengu wa roho pia.omba sana na usisahau kila faida unayopata peleka fungu la kumi kama sadaka ya kushukuru kwa wajane na yatima,wagonjwa na wasiyojiweza,na kanisani pia.kitu kingine ukifanya biashara,kila unachopata tenga muda uziombe fedha hizo.uztakase ili ziwe baraka kwako na watoto wako wa furahie matunda ya kazi yake,mwambie Mungu wako akumbuke sadaka zako,akuepushe na kila uharibifu.believe ,it works.
 
Thats it. Kuna mdada alikua na duka lake maeneo ya Mwananyamala, na yy walimfanyia mchezo kama huo. Kumbe kuna baba alikua anakuja kuomba chenji kila asubuhi na jioni, kumbe yule baba ndo akawa anazichukua zile hela kichawi. Yule dada baada ya kuona anapata hasara ktk biashara yake akamwita mchungaji wakaomba. Next day yule baba alipokuja kuomba chenji alikutana na nguvu ya Mungu. Ni lazma kukabidhi kazi za mikono yetu kwa Bwana Yesu. Maadui wasiotutakia mema ni wengi mno na ngumu sana kuwajua.
 
AMPOKEE YESU! Damu ya Yesu Hapo ni sekunde tu tena mapato yataongezeka kama yule mvuvi aliyeshngaa samaki kibao!! ama mikate mitano na samaki 2 kulisha watu 5000 kuondoa watoto na wanawake!!!

Thats it. Kuna mdada alikua na duka lake maeneo ya Mwananyamala, na yy walimfanyia mchezo kama huo. Kumbe kuna baba alikua anakuja kuomba chenji kila asubuhi na jioni, kumbe yule baba ndo akawa anazichukua zile hela kichawi. Yule dada baada ya kuona anapata hasara ktk biashara yake akamwita mchungaji wakaomba. Next day yule baba alipokuja kuomba chenji alikutana na nguvu ya Mungu. Ni lazma kukabidhi kazi za mikono yetu kwa Bwana Yesu. Maadui wasiotutakia mema ni wengi mno na ngumu sana kuwajua.
 
Thats it. Kuna mdada alikua na duka lake maeneo ya Mwananyamala, na yy walimfanyia mchezo kama huo. Kumbe kuna baba alikua anakuja kuomba chenji kila asubuhi na jioni, kumbe yule baba ndo akawa anazichukua zile hela kichawi. Yule dada baada ya kuona anapata hasara ktk biashara yake akamwita mchungaji wakaomba. Next day yule baba alipokuja kuomba chenji alikutana na nguvu ya Mungu. Ni lazma kukabidhi kazi za mikono yetu kwa Bwana Yesu. Maadui wasiotutakia mema ni wengi mno na ngumu sana kuwajua.
kweli kweli jamani looo
 
Hiki ni kizuizi cha ulimwengu wa roho.utatuzi ni kupambana nalo katika ulimwengu wa roho pia.omba sana na usisahau kila faida unayopata peleka fungu la kumi kama sadaka ya kushukuru kwa wajane na yatima,wagonjwa na wasiyojiweza,na kanisani pia.kitu kingine ukifanya biashara,kila unachopata tenga muda uziombe fedha hizo.uztakase ili ziwe baraka kwako na watoto wako wa furahie matunda ya kazi yake,mwambie Mungu wako akumbuke sadaka zako,akuepushe na kila uharibifu.believe ,it works.

Aisee sijapeleka fungu siku nyingi kwa Mungu, comment yako imenigusa hapo kwenye fungu tu la kumi kwa Mungu!
 
Mimi kuna rafiki yangu tena bishoo tu mtu wa wanawake sana alifanya chuma ulete mbele yangu akaibia mtu elfu kumi baada ya kumuomba jamaa flani elfu moja. Tukapata mlo wa mchana kwa ile pesa ya chuma ulete, nlishangaa sana inawezekanaje kumuibia mtu pesa kutoka mfokoni kwake kuja kwako.

Sikua na nia mbaya ila kwa udadisi nlimuomba anifundishe, jamaa akakataa akidai ina effect zake kwenye akili mtu anakua kama zezeta ukimpiga chuma ulete na ndo unakua umemfungulia mlango kwa chuma ulete wengine.

pia akasema kama hujazoea inakupa hisia kali sana wewe unaefanya chuma ulete unaweza hata kulia.

sasa wataalam wa haya mambo na meditions hebu tupeni A to Z kuhusu CHUMA ULETE na ufanye ni kuzuia dukani kwa wafanya biashara??

Je ni uchawi au mind power

Huo uchawi unaitwa chuma ulete kwa lugha ya kiaarabu unaitwa (Sihri aayun), ni uchawi wa kiini macho. mtu anakupa 2000 wewe unaona ni 10000 na kumrudishia 8000 wakati kachukua bidhaa ya thamani ya 2000 yake. Dawa kujikinga na huo Uchwi mimi niayo kwa mwenye kutaka anitafute kwa wakati wake ukitaka kuwasiliana na mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
VIDEO - Uchawi Wa Mazingaombwe Ulipoenda Kombo..

VIDEO hii ya kusisimua nywele za kichwa ilichukuliwa nchini Marekani wakati mfanya mazingaombwe aliponusurika chupuchupu kuiaga dunia pale shoo yake ilipoenda vibaya na kupelekea apate ajali iliyomfanya awahishwe hospitali kuokoa maisha yake.

5897754.jpg

Mfanya mazingaombwe Michael Anthony au maarufu kwa jina la Mooney alinusurika chupuchupu kuiaga dunia pale shoo yake ilipomalizika vibaya tofauti na alivyotarajia.

Mooney alikuwa akifanya shoo ya kuonyesha uwezo wa kujifungua toka kwenye pingu huku mikono ikiwa imefungwa kwenye gari la mashindano ya mbio za magari.

Shoo yake hiyo haikuenda kama alivyotarajia kwani badala ya kujinasua toka kwenye pingu pale gari lilipoanza kuondoka kwa kasi, Mooney alijikuta akiburuzwa na gari hilo huku mwili wake ukipigizwa kwenye lami.

VIDEO ya tukio hilo ambayo inaweza kuzifanya nywele zisimame, ilimuonyesha Mooney akijipigiza kichwa chake kwenye lami na kuburuzwa na gari hilo.

Mooney amelazwa hospitali mjini Georgia akiugulia majeraha ya kubondeka kwa fuvu la kichwa chake pamoja na kuvunjika kwa viungo mbali mbali vya mwili wake.

Angalia VIDEO ya tukio hilo chini.

VIDEO - VIDEO - Uchawi Wa Mazingaombwe Ulipoenda Kombo..

Last edited by a moderator:
hizi ni njia ambazo unaweza kuzitumia kuepusha pesa zako zisipotee kimazingara.. Tumia mojawapo pale unapomshitukia/unawasiwasi nae...
1. Pindi unapopewa pesa jitahidi usiichanganye na pesa nyingine, kwa mda fulani.
2. Unapompa change usimpatie mkononi, iweke mezani ajichukulie/aichukue mwenyewe. Hii njia hutumika sana na wafanyabiashara madukani
3. Ile pesa ichane kwenye angle, chana kipande kidogo sana, kama vile unatoa angle, tumia ukucha kuitoa angle ,
 
Back
Top Bottom