Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

Haiingii akilini kwamba wageni wanaokuja Tanzania wanapita kenya, kwanza wanapita hko kufanya nini? Ni kwa nini serikali yetu wanashindwa kujenga na kuimarisha viwanja vyetu vya ndenge KIA, JKNIA etc ili viwe na viwango vya ndege kutua moja kwa moja toka Ulaya?

Nawaunga mkono Kenya, waendelee kufunga mipaka yao na kuweka vizuizi vizito kwenye viwanja vyao ili na sisi akili zitukae sawasawa tuwajibike na kutengeneza mazingira mazuri ndani ya nchi yetu.

Nchi kubwa hii ya Tanzania, tumeshindwa kuendesha shirika letu la ndege sasa tunaendelea kutegemea kenya airways, huu si ni ujinga? mabilioni uswiss yamefichwa ni swala la sisi kuyafuata na kuyarudisha ili tujenge nchi yetu!!
 
Kufunga mpaka na kenya si suruhu muafaka maana 1.baadhi yetu humu ni waajiriwa end month mtapata mishahara yenu,kumbukeni mama zetu na vijana wengi maisha yao wanaendesha kwa kuvusha bidhaa mbalimbali toka kenya na kuuza nchini,hao ni watanzania ambao maisha yao yote hii ndio shughuri zao na wengine ni matajiri kwa shughuri hii.
2.Pia baadhi ya wazalishaji wetu wa ndani wa bidhaa hasa za kura bado si watu wanaoangalia ubora wala kujali kama mteja ameridhika ama la,hata wasimamizi wa ubora wa bidhaa zetu tumeaona mara kwa mara wameonyesha mapungufu makubwa sana kusimamia taratibu zao kiasi kwamba tunalishwa bidhaa za ovyo.
Na hili linathibitishwa na thread nyingi zinazoibuka mara kwa mara humu jukwaani zinazohoji kuhusu ubora wa bidhaa za Bakharesa,MO,Zakaria n.k.
3.Pamoja na ubaya wa hao jirani zetu bado kuna ndugu zetu wengi waume na wake wameajiriwa na baadhi ya makampuni mengi ya wakenya humu nchini,hasa ukizingatia kenya wemewekeza kwenye sector nyingi hapa nchini ukianzia mabenki,insurance companies,manufacturing industries,hotels,retails n.k. na huko kuna maelfu ya watanzania kwa namna moja au nyingine wanapata mkate wao wa kila siku.
Mimi nadhani hasira zetu tuzielekeze kwa serikali kwa kuua viwanda na kutowekeza vyema na kutelekeza sera kujitegemea ya Mwalimu Nyerere.
NB:In nutshell most of the hotels ambazo zimejaa huko kwenye mbuga zetu zinamilikiwa na wakenya.

SI KWELI.

Ukitoa kauli kama hizi, weka na facts.

Bidhaa za Tanzania hazina tatizo lolote kulinganisha na za kenya. Watu wanatumia bidhaa za kenya kwa mazoea,Na bidhaa nyingi unazofikiria ni za kenya sio za kenya, ni kuwa tu MNC wameweka base yao Kenya, Hapa naongelea 80% of FMCG.brands za Unilever, Johnsons etc. haya ni makampuni ya wazungu.

Makampuni ya Kenya yanayotoa Direct Employment kwa makampuni ya Kitanzania ni machache sana, and trust me, wakiamua kuondoka, that gap will be filled faster than they can pronounce exit. Chinese, Indians, South Africans, Local Enterprenuers would never shy away, and Kenyans who are involed in business in TZ will not be that stupid to voluntarily leave a market as huge as TZ.Waondoke TZ waende wapi?Rwanda?Burundi?South Sudan?those are tiny markets that will take decades to surpass TZ market.

The business part of things should be left to settle itself, no need for bans. We should just protect our own interest and enhance our competitiveness.In a world where Chinese are dominating, it's very stupid to cry wolf about pulling out of a market where you already have a customer base. In business Customer Accusation and retention are extremely hard. When you have invested in acquiring a customer, losing them is harder and more expensive than getting new ones. This is Business School 101.

Entities that lose something always make such waves, it's a matter of time before Kenya becomes irrelevant neighbor that TZ doesn't have to worry about. And this is killing them, for they live and die for attention. That's all they have.
 
ndio maana nawaheshimu wachina, ingekuwa limetokea kwao, ungekuta makampuni kibao ya kikenya yanakesi tayari wikii hii zinanguruma kwenye vyombo vya habari na mahakamani kama za kodi, antcompetative na nyinginezo. Na mngekuta bidhaa zote za kenya haziuziki shauri ya kodi kubwa. Huwa hawapepesi macho

Jukumu la watanzania kususia Bidhaa za Kenya ni uamuzi wao/wetu wenyewe. Binafsi, Sithubutu kupanda KQ,hadi waruhusu Fastjet ifanye kazi Kenya.they don't deserve my money when they are deliberately restricting a Tanzanian company.

Makampuni yao mnayajua, yatajeni, tajeni bidhaa zao, BOYCOT the hell out of them. Period.

Money talks louder, wenyewe wataomba msamaha mambo yarudi yalivyokuwa.
 
Wewe mkenya tutolee utumbo wako hapa
Pole mkuu,mimi kwetu Rungwe-Tukuyu-kijiji cha ITETE Baba na mama wote wanyakyusa,mama anatoka Ngamanga-Ipinda-Kyela,sijui wewe kwenu wapi?
BTW nilicho comment hapo juu ni mtazamo wangu na uhalisia wa mambo yalivyo,it is painfully and pity but that the truth.
 
Tatizo Wabongo ni kulalamika tuuu kila kukicha
Tunatakiwa kuboresha viwanja vyetu vya ndege, hoteli zetu na hata barabara.
Ukarumu katika mahoteli ya kitalii ni ziroooo bure kabisa wakati kenya hata muuza kioski tu anakukaribisha mpaka unaona ununue japo big G.
Wabongo hospitality ni zirooo bere kabisa ndio maana Watalii wanafikia kenya.

Tutatue matatizo ya ndani sasa tuwe na mazingira rafiki badala la kulalamika tuu kila kukicha.

Kenya hoyeee endelezeni ukarimu kwa wageni sie wabongo acha tukae kulalamika tu.

Maana km hata wakulu wa nchi wanafikia kusema wamechoka basi uje breakfluid imekwisha na gari haliwezi kufunga break linaporokoka hadi bondeni.
Nawasilisha
 
Wewe uko nyuma ya keyboard umejiachia unasubiri mwisho wa mwezi uvute mshahara wako wa laki tano, then unakuja hapa kutoa wazo la kufunga mpaka ili tukose wote lakini wewe utapata laki tano yako mwisho wa mwezi kwa vile serikali itakopa hela za mishahara NMB....

Migogoro kwenye biashara ni jambo la kawaida. Suluhisho ni sisi watanzania kujiwekea miundombinu yetu. Haiingii akilini Nyalandu kwenda kutangaza utalii na Aunty Ezekiel huku hajui hao watalii anaowaalika watafikaje. Wakati umefika wabongo kuanza kuangalia maslahi yetu na kutowashangaa wakenya kwa kuangalia maslahi yao.

Ingawa hukunijibu mimi post yako hii, Mbele ya keyboard ni wapi?
 
SI KWELI.

Ukitoa kauli kama hizi, weka na facts.

Bidhaa za Tanzania hazina tatizo lolote kulinganisha na za kenya. Watu wanatumia bidhaa za kenya kwa mazoea,Na bidhaa nyingi unazofikiria ni za kenya sio za kenya, ni kuwa tu MNC wameweka base yao Kenya, Hapa naongelea 80% of FMCG.brands za Unilever, Johnsons etc. haya ni makampuni ya wazungu.

Makampuni ya Kenya yanayotoa Direct Employment kwa makampuni ya Kitanzania ni machache sana, and trust me, wakiamua kuondoka, that gap will be filled faster than they can pronounce exit. Chinese, Indians, South Africans, Local Enterprenuers would never shy away, and Kenyans who are involed in business in TZ will not be that stupid to voluntarily leave a market as huge as TZ.Waondoke TZ waende wapi?Rwanda?Burundi?South Sudan?those are tiny markets that will take decades to surpass TZ market.

The business part of things should be left to settle itself, no need for bans. We should just protect our own interest and enhance our competitiveness.In a world where Chinese are dominating, it's very stupid to cry wolf about pulling out of a market where you already have a customer base. In business Customer Accusation and retention are extremely hard. When you have invested in acquiring a customer, losing them is harder and more expensive than getting new ones. This is Business School 101.

Entities that lose something always make such waves, it's a matter of time before Kenya becomes irrelevant neighbor that TZ doesn't have to worry about. And this is killing them, for they live and die for attention. That's all they have.
Mkuu facts zipi unazozitaka?
Kwamba si kweli Kenya wemewekeza kwenye sector nyingi na kutoa ajira nyingi hapa kwetu?
Hata kama hivo viwanda vilivyoko kenya ni vya wazungu,je nani ananufaika navyo? Unilever Kenya wana viwanda hapa sisi tuna magodauni tu,nani ananufaika zaidi? Kwanini wasijenge viwanda vyao na huku kwetu?
Zaidi ya Bakharesa,ni nini zaidi tumewekeza kenya? Tusikae hapa kudanganyana kenya need us as much as we need them.
Kuhusu ubora bidhaa,hayo ni malalamiko ya kila siku humu jukwaani watu wapost,thread uanzishwa kila siku humu jukwaani na ku-attract wachangiaji wengi tu,kumekuwepo thread kuhusu juice,thread kuhusu maziwa vyote vya wazalishaji wetu wa ndani,na wala mimi si mwanzilishi wake.
Hilo gap la employment how it can be filled wakati hatuna hata processing industries?,Machungwa,mananasi yaoozeana sokoni,viwanda vichache tulivyonavyo vimekazana kutumia chemical kama malighafi ya juices,
Hilo gap la uneployment utaliziba vipi wakati hao wenye viwanda wanajaza wapakistani kila kukicha?,Leo tu nimemsikia naibu waziri wa kazi akisema hajui ni kwa namna gani wahindi 300 waliingizwa na Dangote kule mtwara!! Hivi kweli tutaziba hilo gap kweli ukizingatia na number ya graduates wa vyuo mbalimbali kila mwaka?
Tuache siasa na maneno ya kulembana,nchi hii hatuendi sawa.We must stop being crying babies and starts doing things right,hayo mambo ya bans za wakenya na ujanja wao lets take them as challenge and a lesson.
 
Umesema Hoteli Nyingi zinamilikiwa na wakenya, huu ni uongo.Unless ukienda ukakutana na waiter wa kikenya,au meneja unaamini ndio mmiliki.

Baadhi ya Hoteli zilizoko Mbuga zetu za wanyama ni

Serena Manyara, Ngorongoro Camps,Kempinsiki,snd several Luxury Campsites owned by American's and Sout African Business Men. NOT KENYANS/

Unapotoa Kauli, back them up with facts sio kwa hisia.

Hao Unilever umehsafika Mufindi kwenye Mashamba yao?una uhakika hawatoi Ajira kwa watanzania? sasa unataka wafungue kiwanda kila Kona wakati business model yao haiko hivyo?Kenya walikuwa na advantage ya kuwapokea mabeberu wakati sisi tunawafukuza, hivyo sio lazima kila kilichokuwepo Kenya kiwepo Tanzania.

Kenya hawapendi Watanzania kuwekeza Kenya, ndio maana Fastjet wanasubiri license Kenya mwaka wa 2 huu, wanapigwa danadana.

Matatizo ya Ajira,etc Tanzania, hayahusiani na Sekta ya Utalii kuhujumiwa na wakenya. Tusichanganye mambo. Kama unataka tujadili kuhusu dangote, fungua thread tujadili.
 
Punguza munkali mkuu,kama tukienda hivi hata wewe huna facts,maana ata wewe ume-generalize umiliki wa hizo hotels,labda ungekuja na number of US owned hotels,SA and others ningekubali huo upungufu ulioutaja.
Usikimbilie kusema eti kenya haiwapendi watanzania,kenyans are so protective,yaani wanapenda kuprotect kilicho chao na hiyo sio dhambi,ndio uzalendo huo.Kule kenya walienda hata wa-south africa na walishindwa wakakimbia,shoprite walijaribu wakashindwa.Wakenya wanaamini kitu wanachoweza wao kukifanya basi wao ndio priority.
Nchi yetu ni ya uchumi wa soko tumeachia kila kitu,we don't have even a family silver,hatuna kitu cha kujivunia wala kuprotect,tumewachia wageni wafanye kila kitu. Hata huku kwenye tourism kuna wakati locals walikuwa wanalalamikia ugawaji usio sawa wa maeneo ya uwindaji,serikali nayo imewahi lalamika kwa kukosa deserved earnings toka kwenye sector hiyo kwani makampuni ya tours na some hotels wageni wao walikuwa wakifanya reservations ana kulipia hukohuko kila kitu ulaya na marekani na kuja huku with few money to spend.
Kazi kubwa ya watanzania ni kulialia tu.Keep on crying and do nothing.
 
Hali mbaya ila mpaka usifungwe bana wafanye vile wanaweza kuongea mambo yaishe mbona mishe zitakuwa haziendi sasa
 
Kabembe umeongea point. An aggressive hot headed reaction ni a very uncivilised response. Tunakua kama wanyama wa porini ambao wao ni kureact bila fikra. Being pro active is what is needed here. Lazima tuonyeshe busara viongozi wakae chini wa strtegise an intelligent response with our bigger interest being our country.
Revenge is a meal best served cold.
 
Last edited by a moderator:
Moi aliwahi kuwafukuza watz mwishoni mwa miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990,kesho yake mzee Mwinyi nae akajibu mashambulizi,baada ya wakenya
kufika kwao hali ikawa ngumu sana,wakamuomba mzee Moi wamalizane na mzee Mwinyi ili wao warudi TZ maana maisha ya kenya ni magumu.Mzee Mwinyi hakua na makuu akasamehe.Sasa naona wanatumia udhaifu wa rais wetu kutunyanyapa.Hivi upuuzi wangeweza kumfanyia mzee mkapa?vipi kama MAGUFURI ndiye angekua rais?Najua mtoto wa MKULIMA angeita waandishi wa habari na kuanza kulia!!!!

ushauri kwa JK.
MH ILI KUIPA TANZANIA HESHIMA SASA NI WAKATI MUAFAKA WA KUZUIA BIDHAA ZOTE KUTOKA KENYA,KISHA RUDISHA BARABARA YETU YA BAGAMOYO.

Maana even airticket from Dar-JKA eti ni $750 wakati CHINA ni $570 tuu na.S.AFRICA tena CAPE TOWN ni $460,huu ni upuuzi!!!
 
haya yote ni mambo ya kulipiana kisasi baada ya kuzuiliwa wasiingize gari zao ktk mbuga za wanyama,serengeti na ngorongoro.watoto wa kenyatta waliona wajibu kwa kupitia kiwanja cha ndege.
 
kufunga mipaka ni vigumu maana hata kenya wapo watanzania wengi sana hasa ktk mji wa mombasa na Nairobi halafu mambo ya mipaka na utalii ni vitu viwili tofauti.
 
kenya hawajafunga mipaka.kuanzia shirati hadi horohoro pako wazi.
 
Moi aliwahi kuwafukuza watz mwishoni mwa miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990,kesho yake mzee Mwinyi nae akajibu mashambulizi,baada ya wakenya
kufika kwao hali ikawa ngumu sana,wakamuomba mzee Moi wamalizane na mzee Mwinyi ili wao warudi TZ maana maisha ya kenya ni magumu.Mzee Mwinyi hakua na makuu akasamehe.Sasa naona wanatumia udhaifu wa rais wetu kutunyanyapa.Hivi upuuzi wangeweza kumfanyia mzee mkapa?vipi kama MAGUFURI ndiye angekua rais?Najua mtoto wa MKULIMA angeita waandishi wa habari na kuanza kulia!!!!

ushauri kwa JK.
MH ILI KUIPA TANZANIA HESHIMA SASA NI WAKATI MUAFAKA WA KUZUIA BIDHAA ZOTE KUTOKA KENYA,KISHA RUDISHA BARABARA YETU YA BAGAMOYO.

Maana even airticket from Dar-JKA eti ni $750 wakati CHINA ni $570 tuu na.S.AFRICA tena CAPE TOWN ni $460,huu ni upuuzi!!!

Hivyo ni kusema tuwafukuze Wakenya wote na Makampun yote ya Kenya, halafu nao Wafanye hivyo, je nani ataathirika? Naamini sisi tutakua poa, wakenya watalaan. Lakini kiasili, katika EAC,Wakenya ni WAROHO na WABINAFSI namba mojq
 
Punguza munkali mkuu,kama tukienda hivi hata wewe huna facts,maana ata wewe ume-generalize umiliki wa hizo hotels,labda ungekuja na number of US owned hotels,SA and others ningekubali huo upungufu ulioutaja.
Usikimbilie kusema eti kenya haiwapendi watanzania,kenyans are so protective,yaani wanapenda kuprotect kilicho chao na hiyo sio dhambi,ndio uzalendo huo.Kule kenya walienda hata wa-south africa na walishindwa wakakimbia,shoprite walijaribu wakashindwa.Wakenya wanaamini kitu wanachoweza wao kukifanya basi wao ndio priority.
Nchi yetu ni ya uchumi wa soko tumeachia kila kitu,we don't have even a family silver,hatuna kitu cha kujivunia wala kuprotect,tumewachia wageni wafanye kila kitu. Hata huku kwenye tourism kuna wakati locals walikuwa wanalalamikia ugawaji usio sawa wa maeneo ya uwindaji,serikali nayo imewahi lalamika kwa kukosa deserved earnings toka kwenye sector hiyo kwani makampuni ya tours na some hotels wageni wao walikuwa wakifanya reservations ana kulipia hukohuko kila kitu ulaya na marekani na kuja huku with few money to spend.
Kazi kubwa ya watanzania ni kulialia tu.Keep on crying and do nothing.

Sitaki kupoteza muda kuorodhesha wamiliki wote hapa, lakini nina uhakika sentensi yako sio sahihi, hakuwezi kuwa na hoteli 50, wakenya wamiliki 1 halafu wewe useme kuwa wao ndio majority. Unatumia logic gani hapo?Unasemaje kuwa hoteli za mbugani zinamilikiwa na wakenya kwa asilimia kubwa wakati huwezi taja hata hoteli kadhaa wanazomiliki?yani wewe uongee uongo halafu mie nikusaidie kuprove uongo wako?seriosuly?

Sababu za South Africans kuondoka ni protectionism yao, na ubaguzi,ukabila hivyo vinafahamika, wanapata free ride TZ kwa kuwa sisi sio watu wa roho chafu kama wao.

Swala la wakenya kuchukia watanzania, sio jipya, tazama thread zao humu JF kwa sample size ndogo tu.hakuna anayewasingizia, tumepigana vita na waganda,lakini no love is lost between Uganda and Tanzania,we even have better relationship with Somalis than Kenyans with all their troubles. Think about it.

Ila, kadri wanavyotusukuma ndio wanasababisha na sisi tuamue kuwa wazalendo na kuachana na viji-brand vyao. Hii itawaumiza wao, sio sisi.

Swala lawatu kulipia Huko huko waliko ni vihcekesho, kwa kuwa any smart auditor hatatizama ni kiasi gani kimelipwa counter, bali atatizama parameters nyingi. Unanikumbusha regulators wa Hispania walipiga marufuku Google agregators,ili kuwalinda local newspapers, not knowinhg that agregators were actually helping them.kilichotokea, mapato ya aggregators yakapungua kutokana na kuondoa convenience.soon wakaanza kuomba aggregators warudi.

Dunia ya sasa hakuna mtu serious anatembea na cash, kila kitu kinafanyika online/cards. Sasa kama TRA wanasubiri watu wafike counter na pesa ndio wakate kodi ni upumb*vu wao. Na kama kuna mjinga TRA anaamini kuwa mtu akilipia ticket/reservation ya hoteli NY na kuja kuishi dar mapato yanakosekana,huyo afisa anatakiwa afukuzwe kazi.kwani hafai kukabiliana na challenges za 21st century, naomba usiniulize wafanyeje ili kuhakikisha malipo yaliyolipwa US/Europe yanawasilishwa kwenye vitabu vya hoteli wakati wa mahesabu ya kodi.kwani itamaanisha unahitaji ukafanye research.
 
Mimi sijui ni kwa nini serikali yetu inajifanyaga wapenda suluhu sana.ni kitu gani tumekosa mpaka tufanyiwe aibu ya hivi.kama Kenya wamefanya haya bila taarifa.ni dhararu ambayo hana sababu ya kuongea au kutauta suluhu bil tahadhari.tufunge mpaka,ndo tuanze kutafutan suluhu,hii suluhu ya upande mmoja siyo.
 
Back
Top Bottom