Recent content by Lady N

  1. Lady N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Mie nimeagiza Mara moja, mzigo ulikuwa kama nilivyoagiza, nafikiri kina kitu tunakosea wakati wa kuagiza, eh wameweka picha ya kapoch kazuri wewe unachagua kile coz bei ni cheap let's say 11000, lkn kuna poch kama hiyo hiyo bei 30000, naenda kwenye description ndio utaelewe, wanaeeka mpaka size...
  2. Lady N

    JamiiForums Tanzania LAINI YA WAKALA

    Gharama ya hii sh ngapi mkuu
  3. Lady N

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume hawajui jinsi ya kumbusu mwanamke, je ni kilema au ni kukosa maarifa?

    atakuwa anamlinganisha na mchepuko wake hahaa
  4. Lady N

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Unawezanichekia temeke sec.
  5. Lady N

    JamiiForums Tanzania Cheka unenepe!!!

    teh, nimecheka mpaka basi
  6. Lady N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mwanamke asikusaliti kimapenzi fanya haya

    no. 3 ngumu
  7. Lady N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za kuwa na nyumba ndogo

    Mwanaume firauni ni firauni tuu hata ukimlamba m....u,mbona tunawaona huku mitaani!!!
  8. Lady N

    JamiiForums Tanzania Just out of curiosity jamani

    Kuna wakati nikisikiliza matangazo ya vifo kwenye radio huwa nashindwa kuelewa watu wanamaanisha nini. Mfano, utasikia mwajuma ndalandefu wa Mbagala anasikitika kutangaza kifo cha babu yake kilichotekea huko Mkuurombo na mazishi yatafanyika Mkuurombo. Mipango ya mazishi inafanyika leo saa----...
  9. Lady N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini, usaili wa mwezi Juni

    Mr wangu oct 2010 akaitwa feb 2012, u can imagine, yani lisahau kabisa maana wenzie alofanya nao walishazoea na kazi
  10. Lady N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

    labda inajengwa nyingine
  11. Lady N

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

    Medical fee huwa ni 100000 ila kuna wale wanaokatiwa bima hapo chuo nadhani wanalipa 54 na kama una kadi yako ni copy tuu unapeleka ofic za bima wana kugongea mhuri
  12. Lady N

    JamiiForums Tanzania Hebu mcheki huyu kilaza ni Nidhamu kazini au Nidhani ya uoga?

    ni zaidi ya kilaza "wapi feruz!?"
  13. Lady N

    JamiiForums Tanzania Ahsante nisimpe Mganga......nikupe wewe

    ngoma droo
  14. Lady N

    JamiiForums Tanzania Leomasaaayaendikamajanasijuikw anini

    macho yanauma bana
Back
Top Bottom