Recent content by lady cnta

  1. lady cnta

    Nimemfumania mke wangu, nifanyeje?

    Mzee wa kunyata nyata. Unaujua ule wimbo NIMETEMBEA KIDOGO KIDOGo nikanyata nyata
  2. lady cnta

    Dhana ya umri na Wanawake

    Hahahahah nimecheka kama mazuri vilee
  3. lady cnta

    Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

    Kwa kweli tangia niingie kwenye mahusiano sijawah pigwa hata kibao, yaani ninahamu ya kuchwapwa hata makofi jaman
  4. lady cnta

    Ushuhuda: Ni kweli kuna wanawake wana nyota ya mafanikio na wengine wana nyota angamizi

    Kupitia kiganja cha mkono ntajuaje kama Nina nyota Kali
  5. lady cnta

    Mume adaiwa kumuua mke kwa kuzaa watoto wa kike

    Mungu atusaidie SNA, kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa
  6. lady cnta

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Daah alafu ni Member mwenzetu humu, anashinda muda mwingi MMU cjui niitaje Id yke jaman.kweli life is too short
  7. lady cnta

    Kwa huduma anazonipa dada wangu wa kazi simuachi ng'o

    Huna mke baba mwenye nyumba
  8. lady cnta

    Smart Wife

    Nimeipenda
  9. lady cnta

    Nahisi simfai mke wangu, natamani aanze harakati za kuniacha

    Pole SNA mkuu, pigs goti kwa Yesu yote yawezekana
  10. lady cnta

    Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

    Nipo mkoani kwenda dar kufanya survey na kurudi c itanicost sna ndugu yangu, nilitamani nifahamu chimbo zao wanazo uza jumla ndo niende huko ili nipafanyie survey kujua wanauzaje ubora wake na aina za rasta
Back
Top Bottom