Bubu, si sahihi kutegemea kwamba mtu mmoja anaweza kubadilisha system yote ya serikali. Hata kama Pinda personally ni mtu mzuri, bado ni kada wa chama tawala na yumo ndani ya system, tena toka enzi za Nyerere. Ni yale yale ya kumpa Kikwete asilimia kubwa ya kura tukitegemea mabadiliko as though...