Recent content by Lady.A

  1. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart

    kabla sijaja dm nitajie bei na mahali ulipo
  2. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie namna ya kuagiza bidhaa Uganda

    Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati. Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm nahitaji msaada wa karibu tafadhali. Nimesoma Uzi za nyuma zinazohusu biashara za nguo Uganda lakini...
  3. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi mabichi

    Habari Wakuu, Nina heka moja ya mahindi mabichi natafuta mnunuzi, shamba lipo Kilombero Morogoro. Nisaidieni wakuu.
  4. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mambo gani haya sasa duh!🥰😋
  5. Lady.A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wenye chura

    mtaelewa tu usijali
  6. Lady.A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wenye chura

    tucoment nini sasa sisi wenye chura a.k.a Kikere😆😆mnaojua maana msiseme
  7. Lady.A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa

    #bujibuji nimekumiss😘
  8. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Nimewamiss wana Janvi

    Mbona mmekuwa kimya ghafla!!! au mlikuwa mnachat ofisini??? na muda wa ofisi umeisha!!!:D:D:D:D:D:p
  9. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Nimewamiss wana Janvi

    Ubuyu sina aisee, maana huku ndo unakuwaga wa kumwaga sasa nina siku sijaja.
  10. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Nimewamiss wana Janvi

    umeona ee,, yaani hadi sio vizuri
  11. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Nimewamiss wana Janvi

    Nina hamu ya kuchat leo..😜
  12. Lady.A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

    Habari zenu wana mmu, Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi. kimegeuka, utakuta mwanaume...
  13. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hatimae!!! Sijawahi kukutana na twin wangu.
  14. Lady.A

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Yaani itabidi nirudi nyuma siku moja aisee
  15. Lady.A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    he!!!!!!!!!!!!! kazi ipo
Back
Top Bottom