Naomba mnisaidie namna ya kuagiza bidhaa Uganda

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati.

Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm nahitaji msaada wa karibu tafadhali.

Nimesoma Uzi za nyuma zinazohusu biashara za nguo Uganda lakini bado nina maswali.

Tafadhal tafadhal nisaidieni.
 
Hivi ugandanutachukua nn kisichopatikana hapa labda kama bei Iko chininkutokana na tofauti ya uchumi
 
Back
Top Bottom