Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
Habari zenu wana mmu,

Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi.

kimegeuka, utakuta mwanaume mnafahamiana vizuri na mnaendelea kuwasiliana vizuri, baada ya muda utakuta anaanza kukutumia sms za kukuelezea shida zake zinazohusiana na pesa, au kukutaka umtumie japo vocha, wengine wakidai watarudisha

Wengine wanaomba msaada kinachoniboa Zaidi ni kwamba mimi huwa sina tabia ya kuomba pesa hata kwa mpenzi wangu, kwa nini hawa wanaume wanakuwa wepesi kuomba kiasi hiki? au ndo nyakati zimebadilika? mjirekebishe!!!!!!!
 
Habari zenu wana mmu,

Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi kimegeuka, utakuta mwanaume mnafahamiana vizuri na mnaendelea kuwasiliana vizuri, baada ya muda utakuta anaanza kukutumia sms za kukuelezea shida zake zinazohusiana na pesa, au kukutaka umtumie japo vocha, wengine wakidai watarudisha, wengine wanaomba msaada. Kinachoniboa Zaidi ni kwamba mimi huwa sina tabia ya kuomba pesa hata kwa mpenzi wangu, kwa nini hawa wanaume wanakuwa wepesi kuomba kiasi hiki? au ndo nyakati zimebadilika? mjirekebishe!!!!!!!
Kwa kawaida mwizi akiibiwa huwa ni mlalamishi sana...
 
Mbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
 
Bado mnataka kukunwa ki sawasawa mpaka kaka zangu nawauzia ule unga wa Congo na mnataka hela juu sasa kwanini msilipie hizo huduma?
 
Mbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
50 kwa 50 cku hizi.haki sawa
 
Mbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
Hii ingekuwa inahusu ke, sio ajabu mpaka sasa kungekuwa na post zaidi ya 200. Wanapita kando kabisa.
 
Habari zenu wana mmu,

Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi kimegeuka, utakuta mwanaume mnafahamiana vizuri na mnaendelea kuwasiliana vizuri, baada ya muda utakuta anaanza kukutumia sms za kukuelezea shida zake zinazohusiana na pesa, au kukutaka umtumie japo vocha, wengine wakidai watarudisha, wengine wanaomba msaada. Kinachoniboa Zaidi ni kwamba mimi huwa sina tabia ya kuomba pesa hata kwa mpenzi wangu, kwa nini hawa wanaume wanakuwa wepesi kuomba kiasi hiki? au ndo nyakati zimebadilika? mjirekebishe!!!!!!!
wamezidiwa tu shida hakuna kingine, kuliko wafe bora wakuface
 
Back
Top Bottom