Jaman wangu Mimi tulikutana bar Mimi nilikuwa namchepuko wangu na yeye alikuwa namchepuko wake, later on nikarushiwa kikaratasi kina namba namimi nikampa waitress ndio hapo tulipoanzisha life yetu Mpka sasa Tupo Kwenye Ndoa Ila story ya bar hatutaki kuisikia tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.