Recent content by La purga

  1. La purga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa nilivyosikia kwa watu wngn kam hyoo alifanya account officer na kam alifaulu vizuri ila kutoka na nafasi kuisha hyo mtu aliwekwa database na ndo maan akaja kupangiwa corparative officer
  2. La purga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tyr huko pdf lishatoka
  3. La purga

    JamiiForums Tanzania Interview: TRADE OFFICER II- MDA'S AND LGA'S

    Mrejesho jamn ili mtupe mwongozo na wengine
  4. La purga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mbona afya wameitwa na wameapply juz juz, na leo nimeon NIC wameitwa pia
  5. La purga

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Yap yap
  6. La purga

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Sina cha kusema ila licha ya mafunzo yao ila wanaishi life zuri sana pale vyakula vinaingizwa vya kutosha,wanapata muda wa kupiga ball nk nk nikipitag pale nawaona
  7. La purga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuacha shemeji yenu!

    Yy anakupa mapenz mambo ya msaada yapo huko kwny mashirika ya wakimbizi😁😁😁
  8. La purga

    JamiiForums Tanzania Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

    Sawa position yake haijajulika lkn kitendo cha mech kumwona bocco anaanze then phiri anasugua ni kuukosea heshima mpira
  9. La purga

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya biashara ya nyama

    fridge VIsu Mapanga ILa kikubwa hakikisha butcher lina kuw saf wale watu wa afya nyoko hawashindwi kutia kofuli
  10. La purga

    JamiiForums Tanzania Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

    Walimaliza wajenge lingine kubwaa la manara😂😂😂
  11. La purga

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya points hizi ni ipi mpaka timu moja inakuwa juu ya nyenzake?

    Latest to play nadhn
  12. La purga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepiga punyeto kwa muda wa miaka 17 na nimeshindwa kuiacha kabisa

    😂😂😂😂😂hatimaye Rais wa nyeto kajitokeza hadharani ,heshima yako mkuu
  13. La purga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la saratani ya ini

    Duuh, vp mlimpeleka hospital gn..???
  14. La purga

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

    Mangalo muulize alivyokuw kak sikosei biashara chama alimfanya nini, kumbuka simba keo kiburi ipo ya kutosha maan no injury kiungo punda katikati ,saido ndan,sakho mzee wa kuwapunguz ndan ,mbel watachagua wnyw wanamtak nan na nan leo had hyoo kazadi atakaba nakwambia
  15. La purga

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Muhimu Pre Season ya Simba Nchini Sudani

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ety simba waachan na manzoki kwa ww unaishi dunia ipi manzoki ashasajiliw china huko - pil chama kafany foul leo sbb wale jamaa walicheza foul za htr had makocha wakamind, nakuongezea chama hajavaa kitambaa cha ucaptain leo kavaa had timu ya taif yule
Back
Top Bottom