Yellescabar
Senior Member
- Mar 19, 2017
- 115
- 253
Mwenye Mwanga kuhusiana na nini cha Kusoma..Maeneo ya kuyapitia kwenye interview ya hii kada itakayofanyika apo siku za usoni.
Ni hatariTuko pamoja hii Trade officer ni hatari. Kweli tujipange
Hamna wala kuna watu wanaojua mambo humu ndo mana nkauliza ilo swaliDogo jiamini kwa elimu uliyoipata ukiwa chuoni+ Field +past work experiences... unachokiuliza ni kwa Rivals wako... unategemea wakupe nini ili weww uwashinde???
Mwambie aende leo ofisi za PSRS akafatlie ilo swalaWakuu naombeni msaada wa mawazo hapa, katika haya majina yaliyoitwa mwenye usahili j.mosi kuna jamaa yangu ameitwa na anapaswa kwenda kufanyia interview UDSM
Sasa changamoto inakuja ni hadi saizi hajawekewa namba ya usahili kwenye account yake, wengine wamewekewa ila yeye kila akicheki Hola
Sasa swali, je asipowekewa namba na ilhali ameitwa anapaswa kufanya nini? Je anaweza kwenda eneo la tukio siku ya usahili pasipokuwa na namba? Na je akifika afanye nini kabla ya kuingia kwenye interview?
Natanguliza Shukrani.
Sawa Mkuu, shukraniMwambie aende leo ofisi za PSRS akafatlie ilo swala