Msaada juu ya biashara ya nyama

Jan 25, 2021
56
47
Habari Wana jf ...naitaji msaada wa kujua vituu vyote muhmu kwa ajili ya kufungua duka la nyama ikiwemo mtaji minimum shngap na mambo yote muhmu changamoto na faida za biashara iii...na location pia

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
Biashara iyo inachangamoto kubwa kama upo dar usijifungue temek utajuta kuhs minimum uwe kama 1m ila ilala na kinondon kigambon inalipa
 
fridge
VIsu
Mapanga
ILa kikubwa hakikisha butcher lina kuw saf wale watu wa afya nyoko hawashindwi kutia kofuli
 
fridge
VIsu
Mapanga
ILa kikubwa hakikisha butcher lina kuw saf wale watu wa afya nyoko hawashindwi kutia kofuli
Ila sasaivi wanatumia sana mashine za umeme na ili uweze kufanya biashara vizuri nunua na jenereta japo dogo ili biashara ifanyike,mapanga maeneo mengi hawatumia sasaivi
 
Jiandae kupambana na mgao wa umeme, na vijana kuuza nao ubahatike upate anayejielewa!
 
Ilaa upambane biashar inachosha ukifanya pekee yako khy tafuta mtu utafute mtu anajua kukugulia nyama pia nina gogo kama ujapata unichek maan mashine bei kubwaa 1.5m
 
Back
Top Bottom