Recent content by La Mbegu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

    kama ishu ni kulipiza kisasi basi mwambie na yeye avue umuone mchezo uishe...manake yeye alikuona tu hakukufanya kitu na wewe muone tu usimfanye kitu..ngoma iwe droo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    kweli huyo ndio Kenge kutoka Nkenge....anasahau wajibu wake wa kuwatetea wananchi wake alafu anaitetea serikali...huyu mama apumzishwe kwa amani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Amon Mpanju: Wamenipiga huku wakijua mimi sioni macho

    anatakiwa apigwe hadi awe bubu ili tumuone kwamba ni mlemavu totally.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Amon Mpanju: Wamenipiga huku wakijua mimi sioni macho

    tena macho yake ni special kwa kuwaona UKAWA tu tena kwa mabaya lakini kwa vitu vingine haoni.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Amon Mpanju: Wamenipiga huku wakijua mimi sioni macho

    huyu mjinga asitake kutumia kaulemavu kake ka macho kuonewa huruma kwa ujinga kanaofanya..
  6. L

    JamiiForums Tanzania Channel 10: Tundu Lissu anachambua katiba pendekezwa

    Lisu kiboko ya Magamba, mnaojifanya kumponda hamjitambui, go go Lisu tupo pamoja.
  7. L

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    kumbe ndio maana magamba waliengua kipengele cha tunu za taifa (Maadili) tumeona wazi leo jinsi vijana wao wasivyokuwa na maadili, ni wakati sasa wa kujiuliza taifa letu linapelekwa wapi na hawa wahuni waliokuwa wakimtukana Warioba tangu bungeni..
  8. L

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Hizo ni njama za chama tawala kulazimisha katiba yao ipite, lakini watz tunaelewa ukweli ni upi na uongo ni upi..
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jamani nimfanyeje huyu mrembo amepania kuniua

    :D:D:D:Umenichekesha sana Mkuu..!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kila Mchango ni walimu tu? Kwani hakuna kada nyingine?

    nimekuelewa mkuu,maelekezo sahihi kabisa.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naishukuru serikali ya CCM imenipa ajira

    Wakati kodi zetu ndio zinazofanya yote hayo.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naishukuru serikali ya CCM imenipa ajira

    mkuu umenena, ipo siku watu wa darasa la saba wataanza maandamano ya kupinga kuchukuliwa ajira zao na graduates, tujipange!!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

    achana na huyo nadhan ni mmoja wa washabiki wa tbccm
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

    walimtoza mahari kubwa nn?? that z not fair..
  15. L

    JamiiForums Tanzania Pombe inaweza kuwa kisingizio cha ku cheat?

    me mgeni wa hiyo mambo jombaa..
Back
Top Bottom