Recent content by La MaGique

  1. La MaGique

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Asilimia kubwa za Mahakama ili upate msaada au huduma lazima utoe RUSHWA

    WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/ huduma/msaada wa Haki zao ukitoka MAHAKAMANI, lakini katika Hali ya kawaida inavyotakiwa kuwa sivyo badala...
  2. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Taarifa yaijaeleza Kama Kuna Kanisa lolote ambalo limekubwa na maporomoko ya udongo???
  3. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

    Kwani Hao traffic wakiondolewa au kupunguzwa road kuna kazi gani nyingine wanaweza kufanya ukiondoa ile ya ukaguzi wa mabasi alfajiri wakati yanaondoka stand?
  4. La MaGique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho
  5. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    saiv ukivaiwa kwako wambie polisi kwamba UKAWA wapo huku watakuja haraka kuliko ukiwaambia majambaz
  6. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    sawa mkuu.nadhan hiyo ni kwa usiku lkn mchana ukimwambia kaa vzr anabana miguu
  7. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    bado maana wananichanganya kinyama mcha na usiku stlye tofauti
  8. La MaGique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

    sycologicaly tayari no mwathirika wa hali ya juu japo cjajua since when he is startng to run with dat game, but watu wa hivo kiukweli ni ngumu sana kuacha japo anaweza kupunguza na wanashauriwa kufanya mazoez ya viungo ambayo yatarudisha yatampa ukakamavu kwa maumbile ambayo tayar yalkuwa...
  9. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    ufafanuz tafadhal Zogwale
  10. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    mbona mchan ukwambia kaa vzr hapanui icpokuwa kubana mkuu
  11. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA VIZURI" anapanua miguu, Hebu nisaidie mtaalamu wa mambo haya? KAA VIZURI ni Kubana miguu au Kupanua miguu?..
  12. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yashamshinda?

    ndio maana anasisitiz kila akipata kipaza sauti kuwa mumuombee
  13. La MaGique

    JamiiForums Tanzania Je, UKUTA wa Mbowe utahimili mikiki-mikiki ya JPM

    wap hapo tena mkuu walipo danja
  14. La MaGique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    ingekuwa Script wampe JB na Ray
Back
Top Bottom