Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

sycologicaly tayari no mwathirika wa hali ya juu japo cjajua since when he is startng to run with dat game, but watu wa hivo kiukweli ni ngumu sana kuacha japo anaweza kupunguza na wanashauriwa kufanya mazoez ya viungo ambayo yatarudisha yatampa ukakamavu kwa maumbile ambayo tayar yalkuwa yamelegea kwa maan atapofany atahic maumivu, pia wanashauriwa kusoma majarada na vitabu ili kimfany acpate muda wa kuwaza ujinga wake pia ukaribu nae unahitajika na mwisho ale vyakula vyenye kuongeza nguvu mwln na kusisimua misuli ya kiume maan huyo sas alihisi ni demu usisahau pia kumtafutia mtaalamu ambae atamwambia nin anaweza fanya ili asahau kabisa huo mchezo.
 
hebu weka picha ya huyo mwenye mkasa ili tujiridhishe kama hii habari ni ya kweli au na wewe umetaka tu usionekane upo nyuma kwenye kuanzisha thread humu...
 
Asante kwa ushaur
 
hebu weka picha ya huyo mwenye mkasa ili tujiridhishe kama hii habari ni ya kweli au na wewe umetaka tu usionekane upo nyuma kwenye kuanzisha thread humu...
Habar ni ya kweli ila picha hapana siwez kuweka
 
Ukisoma story za hivi unajiuliza kuhusu watoto wetu wanaokuwa, unakosa majibu na kuwa mdogo kuliko piriton.
 
Homosexual zote ni dhambi mbele ya macho ya Mungu na sio kusudi la Mungu watu wa jinsia moja kuwa wapenzi. Hali hii inaweza kusababisha hata laana na mikosi katika jamii.

Mshauri huyo jamaa amrudie Mungu wake hata kwa kuwatumia watumishi wa kweli.

Kwa hiyo mmehalalisha zinaa zingine--isipokuwa ushoga??? Vitabu vimeandika--NA WALA MSIIKURUBIE(=MSIIKARIBIE) ZINAA--
 
hebu weka picha ya huyo mwenye mkasa ili tujiridhishe kama hii habari ni ya kweli au na wewe umetaka tu usionekane upo nyuma kwenye kuanzisha thread humu...
fatman.jpg
 
Back
Top Bottom