Bosco Robert
Member
- Jan 12, 2016
- 65
- 53
UKUTA FIRST PLAN
Dar:-
Edward N.Lowassa
Salmu Mwalimu
John J. Mnyika
John Mrema
Mkutano wao wa kwanza Morogoro mjini saa 4:00 asubuhi
watamalizia Jangwani Dar es Salaam saa 8:00 mchana.
Mwanza:-
Freeman Mbowe
Dr Mashinji
Ezekiel Wenje
Hamis Mgeja
James Lembeli
Wilfred Lwakatare
Mkutano wa kwanza utakuwa Kahama mjini saa 4:00 na
kumalizia viwanja vya furahisha Mwanza saa 8:00 Mchana
Arusha:-
Fredric Sumaye
Godbless Lema
Ester Bulaya
Halima Mdee
John Heche
Mkutano wa kwanza Moshi mjini saa 4:00 na mwisho NMC
Arusha mjini saa 8:00
Mbeya:-
Antpas M.Lissu
Joseph Mbilinyi
Mch Msigwa
Joshua Nassary
Benson Kigaila
Mkutano wa kwanza saa 4:00 Iringa mjini na mchana
Mbeya mjini saa 8:000
Plan A inasubiri kuthibitishwa na Katibu mkuu lakini
maandalizi yote yamekamilika ikiwa ni pamoja na chopa
watakazotumia. Vikosi vilivyobaki vya ardhini vitaongozwa
na wabunge waliobaki kwenye mikoa na wilaya mbali mbali.
TUTAITEMEMESHA NCHI
Sumu haijalibiwi kwa kuonjwa