Recent content by la Jeneral

  1. la Jeneral

    Waif ananilazimisha kutumia tigo

    astakafulli llah,,,,,ntarejea
  2. la Jeneral

    kucheka ni dawa

    cheko dawa mdau,ukishacheka moja kwa moja furaha inakuja by default,,,ni sawa na huzuni na kulia
  3. la Jeneral

    Mulugo shame on you, umeongopa kwenye media: Na jibu hizi kashfa sasa hapa ndani

    ukitaka wakujue in and out wewe ingia kwenye siasa huone,kama kweli aibuuuuuuuu
  4. la Jeneral

    Natamani nimtag!!

    roho inauma ila wivu huna mpotezee jembe......
  5. la Jeneral

    Nimetumiwa SMS hii....

    ka uzi kana mashiko
  6. la Jeneral

    Afadhali NYUMA,MBELE hapafai...

    shigongo akisoma hii atakuchukua jembe ukawe mhariri kwenye gazeti lake la ijumaa wikienda
  7. la Jeneral

    Ma house girl wanaharibu watoto

    ila naskia huwa wakina mama ndo huwa wanasababisha kwa kutowajali ma haus gel,kuwafokea saa zote,mara kuwakata mishahara endapo akivunja glass au kuharibu kitu chochote,so hasira zooote huwa zinaishia kwa watoto pindi mkienda kazini
  8. la Jeneral

    Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

    vya fasta fasta vitamu hasikwambie mtu,mnajiona wajanja kweli mkimaliza show,mnaweza kurudia again n again
  9. la Jeneral

    Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

    vya fasta fasta vitamu hasikwambie mtu,mnajiona wajanja kweli mkimaliza show,mnaweza kurudia again n again
  10. la Jeneral

    Wizi mpya wa majumbani!

    ngoja nitest kwangu na nitafute anti dot yake ntarejea
  11. la Jeneral

    hEbU LeO tUtAfAhaMiaNe kWa MaJiNa YeTu hALisIa/vIrEfU vYa aVaTaR zEtU!! NAANZA...

    jina chapombe nguvumali nilipo lyamba lya mfipa umri 33 jinsia dume la mbegu avatar la jeneral,na hyo picha yangu ya utotoni napendelea castle lager na kitimoto sijaoa natafuta muchumba
  12. la Jeneral

    Kama umepita sekondari halafu hujui hii basi we kilaza

    prapakatumbaaaa hzo ni features za kingdom protozoa
  13. la Jeneral

    Msaada: Maumivu pindi jogoo akiwika

    ikisimama ipe chakula yake,kwani huelewi ikisimama nini maana yake mdau?maswali mengine bhana
Back
Top Bottom