Msaada: Maumivu pindi jogoo akiwika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Maumivu pindi jogoo akiwika

Discussion in 'JF Doctor' started by Going Concern, Jun 18, 2012.

 1. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  habari za kazi ndugu zangu, kunatatizo limejitokeza kama miezi miwili sasa hivi, nikisimamisha jogoo wangu anakua anauma, ata kama niko na mama watoto, uume unauma, yani misuri inakua imekaza sana, naombeni mawazo chana ndugu zangu.

  NB: situmii kilevi chochote, am not smoking, sijawai kutumia dawa yeyote yakuongeza nguvu za kiume.

  mungu awazidishie.
   
 2. cement

  cement JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaka hy ww unaweza ukawa tu na nguvu nyingi kiongozi inakubidi uwe unapata muda na mama anakuchua ipasavyo,piga dozi asubuhi na usiku week moja tu utaona matokeo

  Mnakuwa bize sanaa bana!!!!pole
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  makubwa inamaana huyo jogoo huma tu wakati akindinda, kuna mengi sana may be kunaugonjwa waone wataalam
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  "Priapism"?????????. Use Google to Search for and Read further on this medical condition.
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi hiyo hali ilinitokea,nilienda kwa dokta aliponipima alisema nipunguze vinywaji ninavyotumia,ninywe sana maji,
  yaani pombe nilizokuwa nakunywa zilikuwa zinanipa nguvu sana,jogoo anasimama mpaka unahisi mishipa inataka kupasuka.
   
 6. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  situmii kilevi chochote mkuu, yani mishipa inakaza mpaka naogopa.,
   
 7. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ikisimama ipe chakula yake,kwani huelewi ikisimama nini maana yake mdau?maswali mengine bhana
   
 8. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,633
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio safi kwani mie mwenzio ikisimama kwa mtindo huo mwenzangu huwa anafurahia kweli anahangaika nayo mpaka wakati wa kufunga goli huwa najikuta natoa ka-mguno fulani hivi ka-utamu,na mwenyewe huwa anaisifia,mhh leo ilikuwa taamuu.Sometimes kuna baadhi ya vyakula ukila sana inasababisha hiyo hali mfano ndizi mbivu ukifululiza,kahawa ukifululiza,chai ya kawaida pia ina effect hiyo.
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Fanya mazoezi na punguza hisia za mara kwa mara.
   
 10. o

  oisso New Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nguvu nyingi unalalamika, zikipungua ndyo kabisa lawama ooh! mara cjui nini, by the way hal hutokana na kuwa hamu ya tendo na kutopata mahali pa kukidhi hlo tendo hukuta uume kucmama mara kwa mara, fanya mazoezi pia unapopata nafasi itumie vyema huo sio ugonjwa. ila kutokana na tatzo lilipo kamuone daktari kwa uhakika wa afya yako na ndoa yako
   
Loading...