Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile.
Maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk

Aaa huyo rafiki yako ameisha kula Tigo, kama hapendi mchezo huo anaogopa nini akishtakiwa.
Uliona wapi mtu si mwizi akaogopa Police.