Ngoja nikuweke sawa hapa. Hizi hizi local beer zipo ambazo chupa unatumia peke yako na haioshwi. Local beer kuna aina mbili 1. Returnable hizi zinakuwa kwenye kreti na zinapatikana sehemu nyingi tu za starehe na huwa zinarudi kiwandani kuoshwa. 2. Non returnable hizi zinauzwa kwenye maboksi...
"Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.
"
Hiyo sentensi ya mwisho ndio muhimu. Hivyo vingine vinadhihirisha utopolo wako.
Wito wangu ni 'tengeneza timu bora upate ushindi kataa makasiriko/malalamiko'
Hata mm nimeshindwa kuwaelewa wachambuzi wetu ile ni clear offside. Ndio maana hata erasto alinyoosha mkono. Sema ndio hivyo soka letu hadi fulani aseme ndio watu waamini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.