Recent content by L4G

  1. L4G

    Je Motorola na Lenovo wana uhusiano?

    Motorola mobility ilikua acquired by lenovo 2014
  2. L4G

    Tecno ni halisi, ni orijino na kamwe haziwezi kuwa bandia

    Mbona mi sijazungumzia bei hapo, vp chief? By the way maoni yangu ni mtazamo wangu tu... Unaeza kuwa na moani tofauti
  3. L4G

    Tecno ni halisi, ni orijino na kamwe haziwezi kuwa bandia

    Tecno simu nzuri tu hata kama hazina ubora wa Samsung na nyinginezo, pia zinawasaidia sana watanzania japo wale wanaotumia high end devices wanaponda kila siku na kuzusha maneno without any evidence. Na pia inasikitisha watu kureview simu za tecno kimtazamo tu bila kufanya research ya kutosha
  4. L4G

    Ushauri wa gari TOYOTA RAV4

    Mkuu rav4 walianza kutengeneza toka 1994
  5. L4G

    Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

    LEGE, Mkuu mm nafikiri ukubwa wa combustion chamber una matter sana, kwa mfano gari yenye cc 2000 inahitaji mafuta mengi na hewa ili iweze kutengeneza mlipuko wenye nguvu zaidi kuliko gari yenye cc 900 ambayo combustion chamber ni ndogo. Pia ukipunguza uingiaji wa mafuta na kusababisha hewa...
  6. L4G

    Huawei P9 launched with dual camera lens, reinvents smartphone photography in collaboration with Lei

    Si kweli, mi ninavyocomment usifikiri sielewi ninachozungumza, IT ni proffesion yangu. Vitu vingi wote tunasoma, sio kila kitu tumetumia au tunamiliki.
  7. L4G

    Huawei P9 launched with dual camera lens, reinvents smartphone photography in collaboration with Lei

    Source ni ibmtimes.co.uk, mm sijasema ni revolutionary lakini nmekwambia imekua implemented tofauti na kampuni nyngne zilivyo implement b4, yaan kaka makampuni yanainvest a lot of kwa ajili ya r&d ww unasema yana tengeneza mazingira ya kucompete yasiyo na maana. You can't be serious.
  8. L4G

    Huawei P9 launched with dual camera lens, reinvents smartphone photography in collaboration with Lei

    Naelewa dual lens camera htc wameanza kutumia since 2014 lakini ukijaribu kusoma utaona the way huawei walivyo implement kwenye p9 ni tofauti. Na ina performance kubwa hata kukiwa na mwanga kidogo. "It can capture 90% more light than the Samsung Galaxy S7 and a whopping 270% more than the iPhone 6S"
  9. L4G

    Mvulana Australia aweka jina lake Wikipedia bila kugundulika kwa siku mbili

    Mkuu ungejibu kwa hekima kidogo, dogo hakuhack aliedit tu, je na ww tukokosoe hash hivyo hivyo? Sio kila unachojua ww wote wanajua... Tupeana maarifa ila sio kwa style hiyo aisee
  10. L4G

    Kwanini Tecno phones hazitambuliwi GSMARENA??

    To conclude without evidence is a critical mistake... Binafsi napenda kufanya benchmarking ya performance za simu nazokua nazo, nimewahi kuwa na tecno j7 na h6 lakini specs zilizo ainishwa na tecno ziliwiana pia kwenye benchmarking software kama antutu
  11. L4G

    Kwanini Tecno phones hazitambuliwi GSMARENA??

    CTE="Ilisolokobwe, post: 15911058, member: 159921"]tecno na itel magumashi sana ndio maana hawatambuliki gsmarena.hata ukiinstal cpuz ktk simu hizi utaambiwa unknown manufacture sasa kama mtengenezaji hajulikani kwa nn watu wanakurupuka sana na hizi akina tecno?nunueni simu zenye viwango mfaidi...
  12. L4G

    Simu enzi hizo: Njoo tukumbushane tulipotoka

    Kabla ya cmu janja... Siemen c35 Nokia 3310 jeneza Motorola c350 Nokia 2100 Nokia 3100 Sendo s50* Nokia 1100 Nokia 6030 Nokia 6630 Siemens C70 Nokia 2630 Samsung s3653
  13. L4G

    Tecno smart phone ni shidaaaaaa

    Thanks be to Tecno wanatusaidia sana tz... Tatzo ni pale unaponunua cmu yenye specs ndogo alafu unataka performance iwe kubwa
  14. L4G

    Msaada: Nimesahau password za BIOS

    Computer nyingi siku hizi huwezi kuondoa bios password mpaka upgshe shoti epprom... Ni very risky
Back
Top Bottom