Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,122
9,204
wakuu hembu naomba mm mnijuze kidogo nafikiria sana juu ya watu wanao sema kuwa gari yenye cc kubwa ndio hula sana mafuta.kwa mbali na kubali na kwaukubwa nakataaa.

kukataa kwangu kuna ambatana na kuwa gari kutumia mafuta mengi inategemeana na techonogia gani iliyotumika kwenye hiyo engine na gari.
hapa na maanisha ni njia gani imetumika toka mafuta yanatoka kwenye tank mpaka yanaunguzwa kwenye chember??

mpaka hapa sasa tuna mifumo mitatu ya mafuta kuingia kwenye chember.

ya kwanza ni yazamani sana kwa kutumia.carbureter hii hewa na mafuta mchanganyiko ulikuwa unafanyika kwenye carbureter then unatemwa kwenye inlet manford hapo itategemeana na silinda ipi inakuwa kwenye mlipuo ndio ule mchanganyiko utakwenda.
hasara performance yake sio nzuri sana na hata mafuta mengi yanapotelea kwenye inletmainford.

njia ya pili ni ile ya EFI hii njia ni bora zaidi ya curbureter yenyewe uzuri wake ni kuwa mchanganyiko wa hewa unafanyika kwenye inletmaiford lkn mfumo huu kila silinda inakuwa na nozel yake hivyo silinda husika.ndio itapelekewa mafuta na yataunguzwa ndani ya chember .lkn hata njia hii nayo bado baadhi ya mafuta hupotea kwenye inlet mainford.

njia ya mwisho kabisa au techonogia ya mwisho kabisa ambayo ndio tupo nayo na.ninzuri ingawa watu tunajifanya kuikataa ni hii ya d4 kwa gari za petrol na d4d kwa gari za diesel.

njia hii ni bora na ninzuri sana uzuri wake ni kuwa mchanganyiko wa hewa na mafuta huwa unafanyika ndani ya chember.hapa nozel huwa zimefungwa moja kwa moja kwenye silinda na huwa zinafika mpaka kwenye chember zinakuwa pamoja na spark plug.

hivyo katika njia zote hizoo njia hii ndio ambayo ni nzuri kwani ulaji wa mafuta ni mdogo perfomance ni nzuri na gari huwa na nguvu sana na nirafiki wa mazingira n.k

kubwa ni kuwa tukiachana na njia ya kwanza ya curbureter .hizi njia nyingine nzuri je gari ulaji wake wa mafuta uko wapi??

mfano tukachukua engine za aina moja zenye zinazofanana kila kitu kama 1JZ FSE na 2JZ FSE moja iwe na cc kubwa na nyingine iwe na cc kidogo.

hapo swali yenye cc kubwa ndio mwasema inakunywa sana mafuta sasa hapo ulaji wa mafuta unatoka wapi?? kwenye sensor,nozel or ECM control box??

je engine yenye cc kubwa tukitaka itumie mafuta kidogo kama engine yenye cc ndogo tufanyeje??

mfano tukibadili sensor zote za kwenye gari pamoja na nozel zilizopo kwenye engine ambayo ina cc ndogo na kuweka kwenye engine ambayo ina cc kubwa je ulaji wa mafuta utapungua?? engine yenye cc kubwa itatumia mafuta kama engine yenye cc ndogo??

mm nahisi kama hapana bado itakuwa vile vile.

nahisi ulaji wa mafuta katika gari ambazo zipo na engine ya aina moja bali nyingine ina.cc kubwa na.nyingine ndogo upo kwenye ECM control box.

na.hapo ndio ninapofikilia mm binafsi ndio maana unaweza ukaiboost gari na kuiongezea power gari mfano gari yenye speed 200 ikafika mpaka 230 or 250 ikiifanyia mapping na kuongeza na kupunguza vitu kadhaa kwenye gari.

mafundi.wenzangu na wenye utaalam wa mambo haya je gari yenye cc kubwa utumiaji mkubwa wa mafuta upo wapi??

maana mambo yote setting zote za gari na sensor kuwa now gari ipo kwenye conditio ipi je nozzel zifungue mafuta mengi au kidogo ni setting zilizopo kwenye control box na.sio kwenye nozzel hivyo kama ndio basi tunaweza kupunguza ulaji wa mafuta kwenye gari zenye cc kubwa na pia tunaweza kuziongezea power gari zenye cc kubwa na.ndogo bila kuongeza ulaji wa mafuta.
===

UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA BAADHI YA WADAU
1. Displacement
We’re not talking about losing your keys. That’s misplacement.Displacement is the volume of air your engine can consume in a single revolution, and these days it’s usually described in liters. A Yaris, for example, has a 1.5-liter four-cylinder engine. That means with every revolution of the motor, the engine draws in and expels 1.5 liters of air.

The more air an engine moves, the more fuel it can consume with every turn. That’s why, on the whole, four-cylinder engines are thought of as more fuel-efficient than bigger motors like V-6’s or V-8’s. So, while a sub-compact car may only move 1.5-liters with every revolution, full-size trucks can draw in and spit out around 4.6-liters of air thanks to a V-8 engine. Again, more air means more fuel.

2. Weight
Of course, how much air your vehicle moves through its engine isn’t the sole deciding factor when it comes to mpg. How hard your motor works also has a big effect on what kind of mileage your vehicle gets, and the most basic kind of work is moving all the vehicle’s components down the road. To that end, a vehicle’s weight plays a key role in how much it drinks.

The more a vehicle weighs, the harder it will have to work get going and stay moving down the road. A pint-sized vehicle will barely move the scales, while some SUVs and trucks weigh in around a portly 5,000 lbs. The slimmer waistline in a small car means it can afford to have a smaller engine and a motor that doesn’t have to breathe too deeply every time it needs to get up to speed. In contrast, if a vehicle needs capabilities as a towing machine, heavy equipment is a necessity.

3. Gearing
While engine displacement and power have much to do with final miles per gallon, how your vehicle uses that power is crucial to the end result. The basic system that converts engine revolutions into rolling tires is your transmission. Thanks to a series of gears, the work your engine does can be multiplied to be more efficient. Taller final drive gears allow the engine to turn relatively few times while still producing plenty of speed.

Say a vehicle has a four-speed transmission. Its engine must turn faster than a car with a five-speed to produce the same speed. While that’s helpful during towing (fewer gear changes), it doesn’t do much for its fuel economy. Some vehicles have as many as eight gears to get the absolute most out of the power the engine produces.

ni baadhi tu ya visababishi.
 
LEGE gari kutumia mafuta mengi kuna factors nyingi, mojawapo ni ukubwa wa engine[cc]. Lets say all facotrs remain constant gari moja ina cc2000 nyingine cc3000 ya cc3000 itatumia mafuta mengi zaidi ili kupata ile nguvu ya cc3000.

Wewe na Didier Drogba wote ni binadamu ila Drogba anakula kuku watatu mara moja wewe robo kuku tu kwasababu mwili wa Drogba unahitaji nguvu nyingi kwa shughuli zake tofauti na wewe au mimi niliekaa kwenye kiti ofisini.

Hii mada ni complex kidogo.
 
Tafuta maana ya CC na calculation zake, Utaendelea kuwapinga ma engineer
 
1. Displacement
We’re not talking about losing your keys. That’s misplacement.Displacement is the volume of air your engine can consume in a single revolution, and these days it’s usually described in liters. A Yaris, for example, has a 1.5-liter four-cylinder engine. That means with every revolution of the motor, the engine draws in and expels 1.5 liters of air.

The more air an engine moves, the more fuel it can consume with every turn. That’s why, on the whole, four-cylinder engines are thought of as more fuel-efficient than bigger motors like V-6’s or V-8’s. So, while a sub-compact car may only move 1.5-liters with every revolution, full-size trucks can draw in and spit out around 4.6-liters of air thanks to a V-8 engine. Again, more air means more fuel.

2. Weight
Of course, how much air your vehicle moves through its engine isn’t the sole deciding factor when it comes to mpg. How hard your motor works also has a big effect on what kind of mileage your vehicle gets, and the most basic kind of work is moving all the vehicle’s components down the road. To that end, a vehicle’s weight plays a key role in how much it drinks.

The more a vehicle weighs, the harder it will have to work get going and stay moving down the road. A pint-sized vehicle will barely move the scales, while some SUVs and trucks weigh in around a portly 5,000 lbs. The slimmer waistline in a small car means it can afford to have a smaller engine and a motor that doesn’t have to breathe too deeply every time it needs to get up to speed. In contrast, if a vehicle needs capabilities as a towing machine, heavy equipment is a necessity.

3. Gearing
While engine displacement and power have much to do with final miles per gallon, how your vehicle uses that power is crucial to the end result. The basic system that converts engine revolutions into rolling tires is your transmission. Thanks to a series of gears, the work your engine does can be multiplied to be more efficient. Taller final drive gears allow the engine to turn relatively few times while still producing plenty of speed.

Say a vehicle has a four-speed transmission. Its engine must turn faster than a car with a five-speed to produce the same speed. While that’s helpful during towing (fewer gear changes), it doesn’t do much for its fuel economy. Some vehicles have as many as eight gears to get the absolute most out of the power the engine produces.

ni baadhi tu ya visababishi.
 
hapa hatupo kwaajili ya kubishana bali tupo kwa ajili ya kufundishana na kujuzana.

hivi gari kuwa na nguvu kubwa mfano kuwa na speed kubwa kunahusiana na cc??
 
RRONDO,
mkuu hiyo ni factor 1 vipi hizo nyingine? na je hatuwezi punguza ulaji wa mafuta kwa kutegemeana na hizo factor nyingine .

hapa na maana kama gari inaweza kuongezwa nguvu mfano gari ya speed 180 ikafika speed 200 bila kuongeza ulaji wa mafuta why isiwezekane kupunguza ulaji wa mafuta na kuongeza nguvu.

sipingani na nyinyi naungana na nyinyi juu ya cc lkn swali langu ni kuwa kilio kikubwa cha wengi ni ulaji wa mafuta kutokana na usawa huu mgumu so najaribu kufikiria na kutafuta solution.

mfano mtu ana hiyo gari yenye cc kubwa mm bado naamini kunasehem ndio kuna husika na utumiaji huo wa mafuta na kwa haraka na huu ufundi wangu mdogo naipoint control box.

swali je ni kweli?? kama sio je kipi kinawezabadilishwa? kama ni sensor or switch fulani basi tuibadilishe kutoka kwenye engine yenye cc ndogo
 
Japo mimi si mtaalam kivile nina uelewa kidogo na mambo ya injini, naeleza kama ifuatavyo:-
1. Kipimo cha utofauti wa ukubwa wa injini ni ujazo wa cylinder engine in CC (cubic capacity)

2.unywaji wa mafuta wa injini husababishwa na sababu nyingi ikiwemo ujazo wa cylinder engine japo zipo sababu nyinginezo.

3. Kama injini ina ujazo mkubwa wa cylinder, huhitaji kiwango kingi/chakutosha cha mafuta ili kukamilisha pigo la injini, hii ina maanisha kuwa kama mafuta hayata kidhi ujazo kamili hakuna combustion itakayozalisha mjongeo hitajiwa, hivyo kiwango cha mafuta huingia kwenye cylinder head kwa kiwango kulingana na ujazo wa injini husika.

Hapo ndipo utaona utofauti kwani injini za ujazo mdogo haziingizi mafuta mengi katika cylinder ili yaunguzwe na piston, maana ni kwamba huwez kubadili mfumo wa uingizaji mafuta wa injini kutoka injini ndogo kwenda kubwa lazima ufanisi na nguvu ya injini itashuka.

4. Pia mfumo wa excel na gear huchangia unywaji wa mafuta kuwa mkubwa au mdogo. MFANO kifaru cha kawaida cha jeshi kinakunywa mafuta mengi kuliko lori la IVECO au SCANIA lakini spidi yake ni pungufu kwa hayo magari, sababu ni excel yake kuwa kubwa na mzunguko wake kuwa mdogo.
 
Saguda47,
ni kwa nn engine 2 zenye cc sawa kabisa moja ikiwa ya d4 na nyingine siyo ya d4 ulaji wa mafuta hutofautiana?
 
ni kwa nn engine 2 zenye cc sawa kabisa moja ikiwa ya d4 na nyingine siyo ya d4 ulaji wa mafuta hutofautiana??
Elewa kuna sababu nyinginezo kama vile mfumo mzima wa carburettor, kwani kuna mifumo mingine huruhusu hewa nyingi kupenya na kusev mafuta kiasi lakini mifumo mingine huruhusu hewa kidogo kupenya hivyo kula mafuta mengi...
 
sasa mkuu hapa ndio sehem yake mwaga hayo mambo basi? ukibakia wasema kuwa kuna mambo mengineneyo unakosea sana.

inawezekana ni mambo ambayo yanaweza kusaidia sana kuepusha gari ulaji mafuta kama zile sababu za kawaida kama aina ya uendeshaji? kubeba mizigo isiyo kuwa na maana kwenye gari?? kuendesha gari kwa speed huku ukiwa umeshusha vioo,aina ya tyre maana kuna tyre nyingine ukiweka kwenye gari inakula sana mafuta, n.k
 
LEGE,
Unazungumzia kwa ufundi wako mtaani au ?! Ubadili sensor or switch kutoka kwenye gari ya cc ndogo kwenda kubwa kivipi? Unafikiri kwa mfano Lambda sensor ya gari ya cc1200 itakuwa sawa na Lambda sensor ya gari ya cc3000?

Kama lengo lako ni kutumia mafuta kidogo nunua gari inayotumia mafuta kidogo, huwezi kununua gari ya cc4500 useme kuna vitu utabadilisha ili iwe sawa na Vits ya cc900 hakuna kitu kama hicho. Kinachotokea ni improvement ya technology na tofauti yake sio ya kulinganisha vits ya cc900 na cc4000. Hio d4 unayosema na lets say 1g ya zamani tofauti labda km 7/l ingine km 7.2/l (mfano).
 
nazani mkuu umenielewa tofauti hakuna cha ufundi wa mtaani wala wa darasani.sensor zinafanana ukitaka kibisha au kukataa utakataa tuu.mfano mzuri nozzel zinafanana sana utakuta gari yenye engine ya aina moja yenye cc tofauti nozzel ni sawa sawa.

unapokuja kuzungumzia lambda sensor nazo nisawa sawa kwasababu yenyewe kazi yake ni kupima moshi upo na hali gani?? kama mafuta yamezidi or hewa imezidi ?harafu mfano wako na niliotoa mm ni tofauti kabisa mm sikulinganisha vits ya cc 900 na ya cc 4000 .

labda kwa kufupisha naomba nikuulize mkuu kwa ufundi wangu mdogo wa mtaani je inasemekana kuwa gari yenye cc kubwa itahitaji mafuta mengi kwenye chumba cha mwako na yenye cc ndogo itahitaji mafuta kidogo swali langu ni kuwa hayo mafuta mengi yana amliwa na nini? nozel or control box?

au unataka kusema kuwa tukichukua nozel za gari yenye cc tuchukulie mfano kuna vits ina cc 900 na nyingine ina cc 1200 tukaziweka kwenye machine na kuzipima kwa dakika moja moja au 5 kuna nozel zingine zitapeleka mafuta mengi kuliko nyingine??

nafaham mkuu kuwa hatuwezi punguza cc za gari lkn je haiwezekani kupunguza kiwango cha mafuta yaendayo kuunguzwa kwenye chamber?? gari yenye cc kubwa ikawa inatema mafuta na ratio yake ikawa kama gari yenye cc ndogo?
 
LEGE,
Mkuu mm nafikiri ukubwa wa combustion chamber una matter sana, kwa mfano gari yenye cc 2000 inahitaji mafuta mengi na hewa ili iweze kutengeneza mlipuko wenye nguvu zaidi kuliko gari yenye cc 900 ambayo combustion chamber ni ndogo.

Pia ukipunguza uingiaji wa mafuta na kusababisha hewa iingie nyingi zaidi itapelekea gari kukosa nguvu kwani lazma kuwe na appropriate air:fuel ratio kulingana na ukubwa wa combustion chamber.
 
Mkuu mm nafikiri ukubwa wa combustion chamber una matter sana, kwa mfano gari yenye cc 2000 inahitaji mafuta mengi na hewa ili iweze kutengeneza mlipuko wenye nguvu zaidi kuliko gari yenye cc 900 ambayo combustion chamber ni ndogo. Pia ukipunguza uingiaji wa mafuta na kusababisha hewa iingie nyingi zaidi itapelekea gari kukosa nguvu kwani lazma kuwe na appropriate air:fuel ratio kulingana na ukubwa wa combustion chamber.
Mbaba mimi nimekuelewa sana hata katika simu tu simu inayokimbiza 4g itaitaji mb za kutosha ili iwezw kukimbiza speed inayolenga zaid ya simu ya 3g.....
 
Mkuu mm nafikiri ukubwa wa combustion chamber una matter sana, kwa mfano gari yenye cc 2000 inahitaji mafuta mengi na hewa ili iweze kutengeneza mlipuko wenye nguvu zaidi kuliko gari yenye cc 900 ambayo combustion chamber ni ndogo. Pia ukipunguza uingiaji wa mafuta na kusababisha hewa iingie nyingi zaidi itapelekea gari kukosa nguvu kwani lazma kuwe na appropriate air:fuel ratio kulingana na ukubwa wa combustion chamber.
mkuu nakubaliana na wewe na hata wote waliopita juu ya hilo? lkn bado sijapata jibu langu okey tukiacha hayo mambo ya kitaalam kuwa ukipunguza mafuta kuna mambo yatakuwa hayajakaa sawa.

shida yangu ni sehem ipi ambayo unaweza uka TUNE na kurekebisha ratio ya mafuta ishuke. mfano engine ya cc 2000 1/2 na engine ya cc 900 ni 1/4 je ni sehem ipi kwenye gari unaweza ku tune mpaka engine yenye cc 2000 ratio iwe 1/4.
 
Back
Top Bottom