Recent content by kyungudotcom

  1. kyungudotcom

    Tanzanians, come here lets reason together

    Mnajua? You kenyans really amuse us. Mnakimbia kwenu kutafuta kazi kwetu na even can never produce enough to feed yourselves... You buy from us, you smell kitu kidogo hadi kitu yoote everyplace, mnajibagua mpaka mnatia huruma halafu mnataka tuongee...HEBU FANYENI KAZI MUIJENGE NCHI YENU...
  2. kyungudotcom

    Mama mwenye nyumba anataka kuniozesha mwanae kwa kinguvu nguvu

    Ushamla tayari huyo shori. Sasa panga nini cha kufanya. Kama unaona anafaa then songa mbele uhalalishe. Lakini usipofanya hivyo walai humo ndani utapigwa kesi ya kisenge na itakutafuna kwa muda mrefu sana... Utachunwa mbaya...na hutachomoa maana ulishamnanilii demu
  3. kyungudotcom

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Ukweli Unaumaga sana. Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  4. kyungudotcom

    Wanawake nani kawaroga??

    Simpo. Kama umekerwa na mavazi hayo si uhame Bar? Kuna bar zingine chungu nzima hazina huo uhuni.HAMA BAR.
  5. kyungudotcom

    Serikali isitishe JKT

    JKT IBAKI.. wengi humu tumepitia huko na hatujawa wahalifu... Suala la Kibiti au mambo mengine ya kihalifu hayahusiani na mafunzo ya JKT. JKT ni JKT na kasheshe za huko kibiti ni suala lingine
  6. kyungudotcom

    Ndoto za kufanya mapenzi zananitesa mwenzenu

    Ndugu. Hili ni suala la kiroho.. Una demon ambaye is your spiritual wife. Sasa kuiondoa hiyo nenda kwenye kanisa linalofanya huduma za maombezi ili huyo jini mahaba akutoke. Otherwise kuna athari nyingine nyingi ambazo atakusababishia. Mpinge mapema kwa maombi na kufunga.
  7. kyungudotcom

    Wanaume mliohamishiwa Dodoma mmetuachia wake zenu makazini wanatusumbua sana

    Ni uongo tu huu. Familia nyingi tu ziko mbali na waume/wake zao na hakuna huu upuuzi.
  8. kyungudotcom

    AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Tuache siasa misibani... its a bullshit kuamsha tofauti na hisia za misingi ya kisiasa kwenye vifo. Itaonekana as if kuna watu wanafurahia kitu ambcho ni ujinga wa ajabu!!!! Tufanye lililo faraja. Huo ndo uungwana.
  9. kyungudotcom

    AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Hiii ni ajali. Hebu tuache siasa kwenye misiba.
  10. kyungudotcom

    MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Tuelewe tu kwamba kuna existence ya dunia ya kiroho.. Ile ambayo si ya kimwili au kwa akili zetu za kawaida. There are two worlds ambazo tunaishi nazo.. Huu ulimwengu tunaouona na kujumuika nao kiuhalisia.. Lakini kuna ulimwengu wa kiroho ambao ndio upo in background unaodictacte haya yote...
  11. kyungudotcom

    Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Kimwingiacho mtu si najisi... bali kimtokacho mtu.
  12. kyungudotcom

    Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Nadhani tupate concrete info kabla hatujaanza kuhukumu. Ni ushauri wangu. Haifai kumhukumu mtu... whether ni mtumishi wa Mungu au la... mpaka pale tunapokuwa na ushahidi tosha. Hawa watumishi wa Mungu nao hushambuliwa sana na ile roho pingamizi kupitia utaratibu huu. Let us be a bit Romans...
Back
Top Bottom