Wanawake nani kawaroga??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Eid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi
 
wapo kazini kama wewe unavolazimika kuvaa suti na tai ndivo na wao wanalazimika kuvaa pensi na vitopu.

NB: nimehisi unaturingishis balimi
 
Ngoja nisindikize post kwa picha
45008f1e88af1e6678f1775edd0abcb7.jpg
 
Simpo. Kama umekerwa na mavazi hayo si uhame Bar? Kuna bar zingine chungu nzima hazina huo uhuni.HAMA BAR.
 
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike

Actually wale malaya unaonunua usiku ndo haohao. Bahati mbaya huwa ushapiga gambe la ukweli na huwezi kuwakumbuka kama ndo haohao.
 
Nenda msasan nakwambia
Nyumban kwako utakupga x

Hii nchi ina ttz wengne cjui
Wanatokea rwanda au Ethiopia mm cjui
 
Eid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi

Hakuna bar iliyomuacha mteja salama
 
Upo chimbo gani mkuu,,nipe code nataka nishuhudie mwenyewe kwa macho yangu…… napendaga match za mubashara mm...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom