Recent content by kyta kykoko

  1. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Halotel mnatuibia wateja wenu

    Hiyo ni ndogo hakuna halotel wala airtel wete ni shwaini tu mimi niliweka mb 150 airtel dakika kumi tu zote kutoa hiyo ni whtasp tu halotel kuweka buku kwanza wakapita na 30 kuja kuweka mb110 hiii komosha nusu saa mb kutoa nimekoma kabisa
  2. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kweri hapo umenena
  3. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

    Punda afe napigia humohumo
  4. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Vigezo vyote ninavyo pm haraka
  5. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Walah, demu huyu akiendelea hivi hivi sitamuacha..... Adimu sana!

    Kamata kabisa akipuruchuka huyo utajuta
  6. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Ombi na Wito: Watanzania kwa Maelfu Jitokezeni Kuwaaga Mashujaa Hawa

    Yote sawa tu kwani wao wanapo uwa hawajui kuwa na kesho zam yao
  7. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

    Nisaidie nifanyeje ili niweze kununua online maana kuna vitu nimetafuta sana madukani nimekosa ila naviona ebay nawezaje kununua ? Naomba msaada
  8. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

    Napenda sana kuagiza mizigo nje ila sijui njia naomba unifahamishe
  9. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Ila hapo kwenye kuwabambikia watu kesi ahaaa kwa polisi wa kitanzania hilo haliwezi kwisha labda dunia itanduke
  10. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu azozana na polisi mahakamani, amtetea mteja wake

    Tatizo kazi za kimjomba mjomba sheria wapi wazijue
  11. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Weka vyeti mezani
  12. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

    Kiuhalisia pasi na kupapasa , Nape yupo sahihi hakuna shaka juu ya alicho amua
  13. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, Mitandao ya kijamii yaweza kuangusha serikali. Actually, imewahi kuangusha serikali!

    Asiye na mwanga hata umuwashie taa haoni
  14. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Kweri mchambia GOGO MAJI HAYAWEZI
  15. kyta kykoko

    JamiiForums Tanzania Mawio: Bunge lamwita Makonda kujieleza

    Baba kampa kiti mama kamwe hawezi mkanya mwanae hata kama ni mkorofi bali atasema nae kwa lugha ya busara kwa BASHITE bunge halina ubavu maana KITI NI CHA MAMA KISHA MAAMUZI NI YA BABA
Back
Top Bottom