Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

video ya hii nyimbo inanitishaga sijui kwanini[emoji23]
Haha...Picha za wanyama wanyama au mapango mapango mkuu.

Umenikumbusha kuna mtu nikiicheza akiwepo anasema mapepo haya. Toa hawa ndiyo wapinga mungu.

Hasa akiskia nas akisema who wrote the bible? Who created the numbers? Na wewe unasema inatisha [emoji23][emoji23]
 
sijui ni utoto! imetoka mwaka gani hii nyimbo? inanitishaga tuu ya ma pyramid mawingu mawingu, na yule mtu anaeimba sabali sabali ananitisha, yale marasta ya marley yani kila kituu sitaki hata kukumbuka[emoji79]
 
Life goes On-Late 2pac
Nikiwa nafanya kazi usiku mostly nasikiliza nyimbo za 2pac tu.
 
sijui ni utoto! imetoka mwaka gani hii nyimbo? inanitishaga tuu ya ma pyramid mawingu mawingu, na yule mtu anaeimba sabali sabali ananitisha, yale marasta ya marley yani kila kituu sitaki hata kukumbuka[emoji79]
Haha ya 2010 sema track ni ya muda mrefu saana. Ya 2008 iliimbwa na wasanii wa mali ikiitwa sabali.

Nas na marley waliirudia kwa namna nyingine. Huyo mmama anayeimba sabali anaitwa mariam

Inamaana kubwa saana
 
mh kama ni miaka hiyo kweli nilikua mtoto pia.... asantee umenitoa ushamba. ntakutafuta unielezee vizuri[emoji4]
 
Haha ya 2010 sema track ni ya muda mrefu saana. Ya 2008 iliimbwa na wasanii wa mali ikiitwa sabali.

Nas na marley waliirudia kwa namna nyingine. Huyo mmama anayeimba sabali anaitwa mariam

Inamaana kubwa saana
Ina maana gani kiongozi..
 
Back
Top Bottom