Yaani wewe umekuja kuuliza kutafuta majibu wakati kichwani una majibu yako tayari ata unapojibiwa haulewi Alafu nikukumbushe humu husijione ww unajua biblia na maandiko yote kuliko wote humu kuna watu wamenyamaza kwan baada ya kujua kuna ka upumbavu kichwani mwako hutak kujua bali kubishana
Wakuu najua apa kuna watu tofauti nina shida na no za waziri wa mambo ya ndani kangi lugola tafadhali mwenye nazo anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazima wakuu. naitaji kuchimba kisima maeneo ya VIGWAZA MBUYUNI naomba mwenye kujua gharama za pale kwa wale wenye uzoefu na maeneo ya uko. pia naomba mwenye contact za company za uchimbaji .kuna uzi kipindi cha nyuma nlisoma unahusu gharama za kuchimba visima maeneo mbalimbali naomba anaeweza...
Ndugu hao ni matapeli walisema wapo dodoma nikasema nielekeze office zao zilipo kwa sababu nipo dom wakanikatia simu nikapiga hawakupokea alafu kuna jamaa niliwasiliana nae wamemla laki 2 bila kumpa huo mkopo na wameblock
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.