Recent content by kyoga

  1. K

    Mitaala ya ufundi Veta

    Mitaala ya ufundi Veta toka mwaka 2000 haijatulia kila kukicha inabadilishwa bila kushirikisha wadau
  2. K

    Miaka 20 tangu VETA ianzishwe (1996-2016) hadi sasa haina "Scheme of service"

    Ni jambo la kushangaza sana tena sana taasisi ya uma VETA kuendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi, yapata sasa miaka ishiri imetimia toka taasisi hii ya uma ianzishwe lakini hadi sasa hakuna kitu kinachoitwa Scheme of Service kwenye taasisi hiyo. wahusika naomba watupie macho taasisi hii na...
  3. K

    Mazingira machafu ya Chuo cha Ufundi VETA Dar es Salaam

    Hali ni tete katika chuo cha ufundi veta Dsm, kunauwezekano wa wanafunzi kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na maji machafu ya chooni kutiririka ovyo kwenye mazingira ya chuo
  4. K

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Inasikitisha sana kuona watu wanamtukana jaji Warioba kwa sababa tu hawaafiki yale yaliyomo ndani ya rasimu ya katiba, ukiangalia kwa undani utaona watu wanaodiriki kutoa maneno ya kashifa kwa tume ya Warioba ni watu ambao hata kufikiri kwao ni kudogo sana, tume ya Warioba ilijaa watu wenye...
  5. K

    Tanganyika imerudi

    A: NDIYO TANGANYIKA IRUDI (tulipoteza neema na baraka za mwenyezi MUNGU sababu za kuitupa NCHI yetu tuliyopewa)
  6. K

    Zanzibar ina serikali Mbili, Tanganyika ina serikali Moja

    Nijambo anbalo halipingiki kuwa Zanzibar inaserikali mbili wakati Tanganyika ina Serikali Moja kwa katiba hii tuliyonayo. Zanzibar ina Baraza la wawakilishi ambalo linashughulikia mamabo ambayo siyo ya muungano wakati huohuo wana wabunge wa Muungano ambao wanashughulikia mambo ya Muungano...
  7. K

    Kero barabara ya Morogoro

    Barabara ya Morogoro toka Kimara kuja mjini imekuwa ni kero kwa watumiaji, kwa muda mrefu sasa. Ujenzi unaoendelea kwenye barabara hiyo umesababisha usumbufu mkubwa sana kiasi cha kuwafanya watu watumie masaa matatu hadi manne kufika posta au kariakoo. Naomba viongozi wanao husika waliangalie...
  8. K

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Mwisho wa ubabaishaji umewadia, siku zote njia ya mwongo ni fupi, Watanzania wa leo siyo wale wa jana, wanajua mema na mabaya
  9. K

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Inasikitisha kweli kweli lakini yote yunamwachia muumba wa mbingu na dunia
  10. K

    Rais wangu J.M.Kikwete una tamko gani kuhusu Polisi kuua raia?

    Ni jambo la kusikitisha kuona viongozi(watawala) wa juu wa nchii hii wakikaa kimya bila kutoa tamko lolote kuhusu kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi kama vile hakuna jambo lolote lililotokea la kutia majonzi, huku wakiendelea na shughuli zao kama kawaida. je wananchi tutawaelewa vipi...
  11. K

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    kwenye jambo zito kama hili waziri anakurupuka na kuunda kamati ambayo haiwezi kuja na majibu yoyote, hili ni changa la macho
  12. K

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Jaji Mstaafu Ihema Kuongoza Tume Huru ya Uchunguzi!

    Tumekuwa na tume nyingi hapa nchini ambazo hazina mrejesho nyuma kwa kipindi kirefu, hivyo sioni ajabu kuwa hii tume kuwa kiini macho tu, na imepewa muda mrefu wa siku 30 ili watu wasahau yaliyotokea. "HAKI ITATAWALA DUNIA UDHARIMU UTASHINDWA" Hata wajifiche vipi Mungu anawajua waliotenda jambo...
  13. K

    Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

    Nakusikitikia sana kwa kuwa hujui unenalo, uhai wa mtu uko mikononi mwa Bwana na si binadamu
Back
Top Bottom