Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

daah inauma sna huyu mkuu wa police hawajibishwe ipasavyo;ila unajua kila kitu kina mwisho kuna kama nguvu ya kura ktk uchanguzi itashindwa kuamua hatma yetu!!basi kuna siku watu wataingia mitaani kwa nguvu na makundi ss utauwa nani umwache nani?
 
Ukiunganisha nukta (when you connect dots), kuna kila sababu ya kuamini kuwa Dr. Slaa alikuwa target!Lakini maskini hasira zote (baada ya kuikosa target)zikahamia kwa waandishi!DUNIANI HUMU HATARI KWELI KWELI!
 
baada ya hayo tume inakazi gani au ni kuzidi kutumia hela za walipa kodi tu.
 
RIP David Mwangosi. Wewe ni shujaa ambaye vizazi vitakukumbuka daima.

Baada ya kusoma taarifa hii nime-coclude kama ifuatavyo:
  1. Kwamba huu ni ushaidi tosha kabisa wa mauaji ya David Mwangosi.
  2. Kamanda wa Mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda ni mtuhumiwa No.1.
  3. Tume 'fake' iliyoundwa na Waziri Mchimvi(Nchimbi) haina ulazima.
  4. Iwapo kutaundwa Tume nyingine itakayokuwa HURU basi Mwandishi aliyeandika USHUHUDA huu lazima aitwe kwenye Tume hiyo ili kuwasilisha ushahidi huu usiokuwa na shaka yoyote.
Wasalaamu.

 
RPC kwa tukio hili hata Mwenyezi Mungu amekuweka alama na sidhani kama shetani atakubali kusingiziwa.
 
Nimeishiwa maneno ya kusema juu ya hili. Mwandishi amesema yote. RIP Kitunda Mjaba.
 
Inaniuma sana! Polisi wote ambao ni ndugu zangu, achaneni nami sihitaji kuwa na ndugu wajinga kama nyie, mnaua utadhania hamkuzaliwa?
 
Eh mungu uko wapi! Ulio waumba kwa mfano wako wanaangamia bila sababu!
 
Hakuna shaka yoyote polisi waliua kwa maelekezo ya RPC na yeye ni mshitakiwa namba moja !
 
very very sad! imeniliza personally! ccm ni mashetani hai. lucifer ndiye baba yao! nawachukia kupita maelezo!
 
Namshukuru Mungu i dont have a gun,mi wala sikumfahamu mwangosi ila kimeniumiza toka nliposikia hadi ninaposoma leo Mungu wetu awalipe mchana kweupe tena wala wasizikwe na binadamu yoyote,polisi endeleeni kutengeza waasi mnafikiri hawa watoto na ndugu wa mnaoua wanasahau na kusamehe eh,mtavuna muda si mrefu,
 
Habari hii inasikitisha, nimeumia sana moyoni. Poleni sana waandishi wa habari, mazingira mnayofanyia kazi ni hatarishi, tunafunga kwa ajili yenu ili Mungu awape moyo wa ujasiri, kwani nyie ndiyo tunaowategemea katika vita tuliyonayo ya kupigania haki za watanzania.
 
Mh kamuhanda utastaafu vyema ndani ya waliokuajili hakika Mungu hata kuacha ustaafu vizuri kumbuka cm uliyoipiga songea ilisababisha watu wanne kufa damu yao inakufuata popote, Uadilifu si kuwa kimya ilihali mambo yapo ovyo
 
Nimebofya, nakuangalia hadi mwisho, Kamhanda bado yuko kazini? Rais hii aibu utaiweka wapi Mungu wangu? Tangu niwe na akili ya kutambua sijawahi ona ukatili kama huu, mf yule Dr tulihadithiwa, lakini hii imenitoa chozi. HIVI hawa ndio wanalinda raia? washetani wakubwa polisi!
 
Mh kamuhanda utastaafu vyema mbele ya waliokuajili .Hutastaafu vyema mbele ya Mungu sikuhukumu lakini kwa matukio haya wewew ni muhusika unakumbuka simu uliyoipiga songea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa ilisababisha vifo vya watu wanne. Damu yao itakufuata popote hawakua na hatia yoyote ni amri yako tu iliyowaua.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom