Rais wangu J.M.Kikwete una tamko gani kuhusu Polisi kuua raia?

Ni jambo la kusikitisha kuona viongozi(watawala) wa juu wa nchii hii wakikaa kimya bila kutoa tamko lolote kuhusu kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi kama vile hakuna jambo lolote lililotokea la kutia majonzi, huku wakiendelea na shughuli zao kama kawaida. je wananchi tutawaelewa vipi? uhai wa binadamu huwezi kufananisha na kitu chochote hapa duniani, hivyo wanatupa picha kuwa wananchi wanao watawala hawana thamani mbele yao bali vitu tu. MUNGU ataonyesha maajabu yake juu ya uonevu huu.
 
Back
Top Bottom