Ni jambo la kushangaza sana tena sana taasisi ya uma VETA kuendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi, yapata sasa miaka ishiri imetimia toka taasisi hii ya uma ianzishwe lakini hadi sasa hakuna kitu kinachoitwa Scheme of Service kwenye taasisi hiyo. wahusika naomba watupie macho taasisi hii na kuhoji kulikoni hadi leo hapajapatikana hiyo Scheme of service.