Recent content by KyemanaMugaza

  1. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Bus kuwa na choo ndani siyo kigezo cha kuitwa Luxury

    Kwenye website ya Road safety ambassadors
  2. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Sawa chief, mi nilikuwa na issue ka hiyo ndo nikaambiwa inawezekana kukamilika ndani ya siku moja,baadae nilihairisha mambo yaliingiliana
  3. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Unapatikana wapi? Kuna watu hizi ndo kazi zao,ndani ya siku moja kila kitu minakuwa kimekamilika
  4. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Na leo kuna maeneo mengi ya Mwanza hakuna umeme, hizi sababu mnazotoa za kukata umeme zimekuwa too much na hazina tija kwa uchumi wa watu wengi wanaotegemea umeme, mmeifanya hii huduma kama hisani, hamko tofauti na mamlaka ya maji Mwanza, Mmeshauriwa kufanya hayo matengenezo usiku fata huo...
  5. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Kiti cha plastiki chakatisha maisha ya Kijana Steven Mbomambuzi, Moshi

    Pole sana mwl,bila shaka hiyo ni Bugarama ya karibu na Kakola
  6. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Wizi wa dini, kwanini mapadre na wachungaji huwa hawatoi sadaka na nani huzila?

    Hata wakitoa zinarudi huko huko kanisani zinakotunzwa,hakuna lolote zaidi ya kuwazuga waamini wao
  7. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Hawa ndo form six leavers ndo wamemaliza mafunzo yao ya miezi mitatu,November wanaenda chuo,bado ni watoto wadogo so wako kwenye mizaa ya kitoto, Ni ajabu sana kutishwa na kauli za watoto wadogo kama hizi
  8. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Watanzania wengi kwa sasa ndo walivyo,kwenye social media hawajengi hoja zaidi ya matusi mazito . Ni kizazi kilichojaa matusi kuanzia kwa wazazi,watoto hadi wajukuu ,inasikitisha sana
  9. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

    Bila shaka ni mkoa wa Kagera
  10. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuombwa tendo siku ya kwanza unayokutana naye, unakuta wengine wamechangamka wanakupa siku hiyo hiyo

    Naunga mkono ,mleta mada yuko sahihi, wanawake wengi wa kisasa hawana mambo mengi, wanajua kuwa lengo lako kwake ni sex,hayo ya kusubirishwa muda mrefu ka unasomea upadri au udaktari wameachana nayo,upewe siku hiyo hiyo mliokutana for first time au baadae bado tendo ni lilelile. Naona kuna...
  11. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania SEKIONE KITOJO:- SAUTI ILIYOACHA ALAMA KATIKA HISTORIA YA UTANGAZAJI TANZANIA

    Ashatangulia mbele ya haki,hii ardhi imemeza watu wengi sana
  12. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya uasi!

    Huyu mleta thread hakuwahi kuridhika na jinsia yake,amekuwa akilalamika mara nyingi kuwa hapendi kufanya mapenzi. Ameona haitoshi kaamua kuhasi kabisa na kubadili id toka Red-me to Binti tz,tayari ameshaaga mashindano
  13. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania KERO Responded MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji

    Hii mamlaka bora ifutwe kabisa, haina tija yoyote, hayo maeneo uliyotaja yamekuwa sugu kwa ukosefu wa maji,tunateseka sana sisi watumiaji wa maji
  14. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Hii reply nimei copy nikaidownload nimeiprint na kuiwekea lamination kabisa ina ujazo wa tani milion kadhaa. Dunia ikiwa na watu wengi wenye mtazamo chanya kama wako haya mauaji ya kijinga yatokanayo na wivu wa mapenzi yasingekuwepo kabisa. Una nafasi yako peponi mkuu
Back
Top Bottom