Naelewa lakini limitations za camera ni kwamba haiwezi kutuma video wala picha kwenye mitandao ya kijamii hivyo itanilazimu kununua simu yenye uwezo mzuri. Kwa bajeti yangu hiyo nataka ninunue simu ambayo itakamilisha kila kitu, in future nitanunua camera.
Habari wanabodi.
Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.
Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?
Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Watu wengi wasiopendezwa na yanayofanywa na CCM wanauelewa uongozi wa sasa wa CDM kasoro wale wanaounga mkono yale yanayofanywa na CCM na serikali yake.
Lissu na CDM wanapaswa kuacha aina ya siasa za nguvu maana siasa za aina hiyo zinahitaji backup ya wanachi. Watanzania hawako tayari kwa siasa za mapambano.
Vinginevyo watatekwa, kufungwa na kuuwawa bure na baada ya wiki tu watanzania hawajali tena kama umekufa.
Dawa ni kuacha nchi iendeshwa...
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.