Recent content by Kyangwe

  1. Kyangwe

    Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

    Ukisikia manabii wa uwongo , ndo Hawa ! Wote watakufa akiwemo huyo nabii wa uwongo , anaehujumiwa na wengine wote ! Kama kweli umeoneshwa hao wahujumu , kwanini umeshindwa kuwataja ?! Uoneshwe alafu unakuwa mnafiki kuwaficha ?!
  2. Kyangwe

    Nahitaji mume aliye serious

    Biteh, mimi niko serious, mawasiliano yako nayapataje? Plz!
  3. Kyangwe

    Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

    Sasa unaomba ushauri wa nini wakati unampenda mchepuko kuliko mwanamke aliyeamua kuishi na wewe?! Wanawake ni wavumilivu sana, lakini ni wataalam wa kuhesabu makosa mioyoni mwao, siku akisema "YATOSHA" hakika hageuki wala hashauriki!! Wewe endelea na huyo mchepuko wako sababu umesema vizuri...
  4. Kyangwe

    Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

    Yawezekana kweli umeanza dharau baada ya kupata hela kutoka na majibu ya mkato yasiyomridhisha. Kwa Maelezo yako tu, unaonekana huna lugha nzuri ya kumuelewesha mwenzio akuelewe. Jifunze kuishi na mwanamke.
  5. Kyangwe

    Mama Ntilie wa Mwanza na Musoma hawajui kupika kabisa

    Tatizo ushazoea kula limbwata kwa Mama nitilie wa Dar na Tabora. Mikoa ya Mwanza na Mara hawana hizo, unakula chakula kwa moyo wako. Samaki watamu walioko Mwanza na Musoma hata kama hujui kupika lazima utapenda chakula. Ushazoea kupashiwa viporo vya Dar. Sababu mikoa yote hiyo tumeishi.
  6. Kyangwe

    Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

    Mbaya zaidi wewe ni Mbunge, ulipaswa kuongea haya Bungeni. Pia kauli zenu tunazikumbuka kila siku. Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete, mlimdhihaki sana sana na kumuita Rais legelege, mkadiriki kusema nchi hii inahitaji Rais dictator!! Leo mnalalamikia nini?! Mbona huongelei kilichokuondoa...
  7. Kyangwe

    Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

    Mheshimiwa Zitto, umeongea kipinzani zaidi kuliko ukweli. Kwa jinsi Rais alivyoongea ni kwamba ule mkataba haukusainiwa na Bunge wala waizara ya fedha, kwa maana kwamba moja kati ya hizo (Wizara ya fedha au Bunge) zingesaini huo mkataba hapo procedures zingekuwa zimefuatwa. Sio waizara...
  8. Kyangwe

    Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

    Alichosema ni kweli Dr. Bashiru ni kweli kabisa. CCM ilikuwa ya kulindana, ilikuwa ya waovu, wema wakawa ndo wabaya. Kwa ujumla huwezi kumridhisha kila mmoja, ila ukweli utabaki pale pale. Ukizingatia kwamba wapiga dili na mafisadi kwa ujumla hawawezi kumfurahia Dr. leo, kesho na hata milele.
Back
Top Bottom