Recent content by Kyandaya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huenda Hansi Mmassy akahama chama

    Kaka Hansi where are you now?I lost my mobile so the number.Would you mind to drop a line via eMail?Thanking you in advance.By Mwl.Nicodemus Mmassy
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jiajiri! Matractor yanapatikana bei nafuu + mkopo

    nifanyeje?nahitaji sana hizi tractor
  3. K

    JamiiForums Tanzania kukosa imani.

    wana JF Nisaidieni kufikisha ujumbe.yupo msichana mmoja aitwaye MONICA(a.k.a.Sikitu)PETER SHAYO.Kutoka Uru Njari.kwa kuwa mwalimu wake alikuwa na imani naye alimtafutia ajira.Lakini tar.12/01/2014 alimwibia mwajiri wake kiasi kikubwa cha fedha.Alitoroka na funguo pamoja na daftari la mauzo.Kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tupia kosa unalojutia kulifanya 2014

    usimwamini kila mtu,hata kama ni ndugu
  5. K

    JamiiForums Tanzania NSSF Moshi wanyanyasa wateja

    mkuu siku 14 zimeisha tarehe 30june.julai mosi nikabandikwa 14 tena.hii ni halali kweli?
  6. K

    JamiiForums Tanzania NSSF Moshi wanyanyasa wateja

    Ni jambo la kushangaza sana kuona jinsi wadau wa shirika hili wanavyoteseka wanapofuatilia mafao yao.Hivi majuzi nilistaafu kwa mujibu wa sheria lakini kufuatilia mafao yangu ni ishu kali mpaka uje kupata id card ni dillema. Wamechapa majina tofauti,ukiwafuata rudi baada ya siku 14. Hebu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Ulinzi mkali sherehe ya Papa

    Neno halali na sahihi ni:KUTAWAZWA m.y.Kufanya sherehe rasmi za kumweka mtu ktk cheo cha uongozi.Hilo neno jingine linahusiana na Kupata udhu kabla ya Kuswali.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Marafiki wabaya huaribu tabia njema

    mie nadhani ni janga la 60%.
  9. K

    JamiiForums Tanzania school

    Ajiunge na shule zinazotumia syllabus ya CAMBRIDGE Kama ana re~seat,au kunyoosha cheti.Mambo yamekaa sawa kuliko NECTA.Ajaribu Mt.Kilimanjaro School iliyopo MOSHI.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je hii inaweza kuwa dalili ya kuchokana wana ndoa

    you have given the right answer.Mwiba hutokea ulikoingilia.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo?

    Endapo utafika mahali waishipo BINADAMU Ukamkosa hapo MCHAGGA:Kimbia ufe hao siyo BinAdam
  12. K

    JamiiForums Tanzania Necta na cambridge

    Nakushauri aingie kwenye curriculum ya Cambridge.Waliokwama NECTA walikombolewa kwa Cambridge.Ninayo mifano hai lukuki.Vigogo wanakimbizia wapendwa wao CAMBRIDGE.Walala hoi wanabana NECTA.Kama utarithia na maoni yangu tuma sms kwa namba 0655223661.Tueleweshane zaidi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Necta na cambridge

    Cambridge ni kiboko yao.Inakufanya uwe mahiri hasa.Mfano ENGLISH Utafanya paper 3.Oral{spoken}:Listening:na Reading and Writing.ukifanya paper kama hizo ni lazima upate kitu.Vilevile grade za Cambridge ni tofauti sana na NECTA Mfano:PRIMARY&IGCSE...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ungana nami kwenye haya maombi

    EE MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA VYOTE.Twakuomba uyapokee maombi ya Mja wako,kama unavyopokea maombi ya Waja wengine.Amina
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ulilo mtendea yule muuza karanga pale posta,ubarikiwe sana kaka..

    hizi ndizo thread za kusoma.
Back
Top Bottom