Kwa ulilo mtendea yule muuza karanga pale posta,ubarikiwe sana kaka..

Kwa ulilo mtendea yule muuza karanga pale posta,ubarikiwe sana kaka..

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,596
Reaction score
1,865
ni kama wiki moja hivi na cku zimepita nilipo kuwa kwenye daladala ya mwenge-posta,pale maeneo ya posta mpya,ndipo jamaa 1 aaliyekuw na haraka,bila huruma akampiga kikumbo kijana 1 kama sio mtoto wa rika kama miaka 17 hiv na kummwagia karanga zake zoooote!
Abira tulimwonea huruma akainama kw haraka na kuanza kuzichota huku watu wakizid kuzikanyaga!
Mbele yetu kwenye folen kulikuw na jamaa 1 ndan ya gar dogo,alipo muona yule dogo ananza kuziokota alimuita kw haraka,dogo akawa amechanganyikiwa akidhan jamaa labda anataka sigara kwan alikuwa pia na sigara akaenda mbio na ungo wake,jamaa akampa sh.elfu 10 na kumwambia achana na zile karanga,akaanze na mtajii huu ambao kw haraka ulikuwa mara 4 ya alizo mwaga,yule kijana alishukuru kw heshima zote akazunguka huku na kule kama kapagawa,kwan hakumin...
Nilitaman kushuka kwenye daladala nikamshukuru yule jamaa lakin nilishindwa kw sababu folen kupungua,ila Mungu wa nafsini mwa kila m2 atamneemesha na kumjaza mara dufu ..na iwe mfamo wa kuigwa..
 
Ndivyo tulivyo binadamu Mwenzako kakaanga kutwa na usiku kucha ili apate faida angalau 3,000/- tu wewe unakuja kummwagia ( na mm namtukania alaaniwe kabisa) yule aliyetoa 10,000/= MUNGU amuongezee AMINA
 
dharau hazifai wajameni.mungu atamsaidia hicho alichopewa akiendeleze na atafanikiwa
 
Mungu amzidishie sana huyo aliemsaidia,lkn huyo aliekosa ubinadamu na yy apigwe kikumbo na mungu, aokotwe na shetani!watu wengine utu umewapitia kushoto!
 
ni kama wiki moja hivi na cku zimepita nilipo kuwa kwenye daladala ya mwenge-posta,pale maeneo ya posta mpya,ndipo jamaa 1 aaliyekuw na haraka,bila huruma akampiga kikumbo kijana 1 kama sio mtoto wa rika kama miaka 17 hiv na kummwagia karanga zake zoooote!
Abira tulimwonea huruma akainama kw haraka na kuanza kuzichota huku watu wakizid kuzikanyaga!
Mbele yetu kwenye folen kulikuw na jamaa 1 ndan ya gar dogo,alipo muona yule dogo ananza kuziokota alimuita kw haraka,dogo akawa amechanganyikiwa akidhan jamaa labda anataka sigara kwan alikuwa pia na sigara akaenda mbio na ungo wake,jamaa akampa sh.elfu 10 na kumwambia achana na zile karanga,akaanze na mtajii huu ambao kw haraka ulikuwa mara 4 ya alizo mwaga,yule kijana alishukuru kw heshima zote akazunguka huku na kule kama kapagawa,kwan hakumin...
Nilitaman kushuka kwenye daladala nikamshukuru yule jamaa lakin nilishindwa kw sababu folen kupungua,ila Mungu wa nafsini mwa kila m2 atamneemesha na kumjaza mara dufu ..na iwe mfamo wa kuigwa..

Ameen.
 
Tenda wema uondeke. No live tv coverage. Very touching act, reminds what Tanzanians were once upon a time before greed took over body and soul.
 
Apa kuna kitu cha kujifunza kwama everythng happens for a reason. Yule jamaa asingempiga kumbo may be asingepata huo mtaji mpya ambao ni kama mara mbili ya mtaji wa mwanzo.
 
Hizo ndizo sadaka ninazopenda sio zile za kutuma kwa Mpesa na kujitangaza mbele za watu ulivyotoa nyingi
God bless him
=
 
cku zote,jucfunze kujaliana na kuseheme hata kama tuna machunngu mioyon mwetu,na tuwasaidie wenzetu kama vile wale wakule kwenye education forum wenye shida na ada ya masomo n.k
 
"Amhurumiaye masikini humkopesha muumba wake naye atamlipa kwa tendo lake jema" Mungu ambariki aingiapo na atokapo tangu sasa na hata milele..woote wenye mwili waseme ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Ameni kabisa.

Sio kama wale wengine wanatuchangisha michango kupitia bank na mitandao ya simu, mwisho wa siku wao ndo wanajitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai wamesaidia watoto yatima huku wakipigwa na kuwapiga wajane, watoto yatima na wagonjwa eti wamewasaidia.
 
Back
Top Bottom