Tupia kosa unalojutia kulifanya 2014

Tupia kosa unalojutia kulifanya 2014

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,008
Reaction score
1,029
Tuanze mwaka mpya kwa kutodiriki kurudia makosa yale yale tulio fanya mwaka jana.
Kwa mfano mimi nilitapeliwa hela tsh 500000 kwasababu tu ya kumwamini mtu.

Je wewe? Tupia kilicho kusibu il turekebishane.
 
Kuwa na marafiki, bora uwe peke yako wengine salamu tu maana ni maadui wakubwaa
 
Back
Top Bottom