Recent content by kyamtagata

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza uka share mswaki na mpenzi wako wa kike au wakiume?

    Midomo mingine inanuka harufu kama ya choo. Huwezi kushare naye mswaki mtu wa hivyo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wiki Moja Sasa Bila Local Channels:Je TBC1 imekuvutia?

    Hahahaaaaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga

    Mnapozungumzia mapdre wa mashirika mnamaanisha nini? Ni nini tofauti ya mapadre wa mashirika na wale wa majimbo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vidole vya mikono vya kati kuuma ni dalili ya ugonjwa gani?

    Reminder....sijapewa ushauri wowote na hari yangu inazidi kuwa tete.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vidole vya mikono vya kati kuuma ni dalili ya ugonjwa gani?

    Habari za leo wakuu, Sasa hivi yapata kama mwezi mmoja umepita niliamka asbh nikakuta kidole cha kati mkono wa kulia kinauma design kama kinachoma au kama kinawasha. Nikikibinya hakina maumivu lakini nikikigusa nasikia maumivu. Ilipofika mida ya saa nane mchana kidole cha kati mkono wa kushoto...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Nimekosa choo kwa muda siku tano nitumie dawa gani?

    Hiyo kitaalam inaitwa Conspition. Kunywa kachupa kamoja ka Samorax kwa wakati mmoja utaharisha baada ya dakika 10 mkuu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea endapo mtoto mdogo anaanza kuota meno mawili ya juu?

    Kwa hiyo unanishauri nifanye nini, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea endapo mtoto mdogo anaanza kuota meno mawili ya juu?

    Wakuu Tumezoea kuona watoto wakati wanaota meno kwa mara ya kwanza yanatokea mawili kwa taya la chini. Wa kwangu ameanza kuota meno mawili taya la juu. Hii inamaanisha nini? Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kinacho fanywa na mawakala wa TRA

    Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka CCM Kirumba: Full time Toto Africa 0 - 0 Simba FC

    Mpira umeishaje wakuu?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka CCM Kirumba: Full time Toto Africa 0 - 0 Simba FC

    Matokeo vipi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Ngoja wataalamu wa mambo ya michezo na mambo ya Muungano waje waanze kudadavua ili na sisi akina Bashite tupate uelewa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Dakika ya ngapi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa Magufuli vs wa Slaa!

    Kwa hiyo tufanyeje
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    SLS - Shirika la serikali(Zanzibar) PT - Polisi Tanzania JW - Jeshi la wananchi RAB - Shirika la reli
Back
Top Bottom