Recent content by Kwizer

  1. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wa uzi wangu wa mke wangu ni tatizo

    Wapumbavu wachache wa namna yako ndio mnaoutfanya wanaume siku hizi tudharauliwe.
  2. Kwizer

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

    Dar es salaam boss
  3. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natokea kumchukia na nimehama hadi line ya WhatsApp

    Bax ndio kitu gani? Mwalimu wa Kiswahili kapita hapa
  4. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo au mume kwenda dinner na rafiki yake jinsia tofauti

    Ila kusema ukweli mimi niulize tu Wanyabi. Hivi huo UJASIRI wa kuniaga anakwenda dinner na fulani anaupata wapi!? Ataupata Wapiii!???
  5. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo au mume kwenda dinner na rafiki yake jinsia tofauti

    Nikioa nitakuwa na majibu sahihi.
  6. Kwizer

    JamiiForums Tanzania Pima uwezo wako wa kutambua rangi hapa (colours blindness)

    KKS & KDS vinakusaidia nini katika maisha yako?
  7. Kwizer

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

    Nakumbuka kipindi hiko tulikuwa tunaenda Lab kunusa zile Chemicals, hapo mtu unatoka UMEWAKA HATARI unaanza KUBEMBEA TU
  8. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! No true love

    Faza yaani miaka 30 tu ndio unapata moto hivyo!? Enewei, kila mtu na mipangilio yake. Nina 30+ sasa ishu ya kuoa naifikiria ila haijawa kipaumbele bado
  9. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume hata kama huna kitu usikubali kunyanyaswa na mwanamke wako kisa ana kipato

    Ndugu nadhani kwa kiasi kikubwa sasa akili imekusogea vizuri.
  10. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

    Sijui nimekuelewa ipasavyo!?
  11. Kwizer

    JamiiForums Tanzania Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

    We jamaa unaishi wapi pa mchele wa 1200 mpaka 1000 na chumba cha 8000!?
  12. Kwizer

    JamiiForums Tanzania Wale wa Hesabu laini njooni mtupee majibu hapa

    1
  13. Kwizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa mwelewa Shemeji yangu

    Aje tu,
Back
Top Bottom