Mwanamke hatakiwi kujieleza mahusiano yake?

Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
Wewe unahis kwann?
 
Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
Wanaume wakila matunda mengi kimasihara huwa wanapongezana sana ila nyie mkila dushe nyingi kimasihara basi ni kesi!Pole sana mkuu
 
Nikija nauzi nikisema nimetembea na wanaume ...kadhaaa...nitaitwa Kahaba..Malaya..najiuza..bwawa..Nk
Akija mwanaume na kitu hicho hicho..HUA wanakuja Watu kuunga mkono na kuweka uzoefu wao...

Kwanini.
mwanaume swala la kuchit ni kawaida kaumbwa nalo ila mwanamke toka enz sio huruka yake kutembea na me weng tofaut na mme wake au mpenz mmoja, in short ke hajaumbwa hivyo ila me yupo hivyo toka enzi,
 
Usiogope, we funguka tu umeshatembea na wangapi na changamoto uliyokutana nazoNATANIA

Kukuattack inategemea na mtu amekuelewaje na ulichokisema amekichukuliaje.
Kuna mkuu kaja na bandiko kuwa alimtongoza mwanaume...na wapo fresh...Ila Watu wametusi Vibaya mno..

Nashangaaa Kwanini?... Akija mwanamke alilalamika mwanaume kumcheat na kumuumiza...mnamwambia Vumilia tu na Tena asikasirike...

Akija mwanaume na bandiko Hilo Hilo...PIGA CHINI KAHABA HUYO..
 
Back
Top Bottom