Recent content by Kwinogho

  1. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mimi ni dereva na fundi

  2. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udreva nina hali mbaya sana.

  3. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

    Inakiwa tuunde kamati ya utafutaji mvua na mwenyekiti wake awe Bashite itapendeza sana
  4. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

    :D:D:D
  5. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke na wazazi wake niwachukulie hatua gani?

    Huo ni kukosa ubinadamu. Nawe una roho ngumu kaka, yaani ningekuwa mimi kwa vitimbwili hivyo wasingeona simu yangu.
  6. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Habari zenu JF members

    Namshukuru Mungu, mimi ni mgeni humu, nilijiunga jana baada ya kushawishiwa na ndg zangu wa karibu. Naomba ushirikiano wenu ili tuijenge Tanzania Mama. Ahsante. Kwinogho
  7. Kwinogho

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Ningekuwa na uwezo wa kuitoa kwenye king'amuzi ningefanya hivyo. Hakuna radio/TV inayo boa kama TBCCM
Back
Top Bottom