Natafuta kazi mimi ni dereva na fundi

Natafuta kazi mimi ni dereva na fundi

msema_kweli

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
178
Reaction score
102
Mimi ni dereva na fundi makanika leseni yangu ni class c kavu nimesoma NIT nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania kwa yeyote anayeitaji dereva namba zangu ni 0784 619897

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unavigezo omba kazi za udereva zimetangazwa na sekretarieti ya ajira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom