Recent content by Kwimage

  1. K

    Huu sio ubinadamu kabisa

    Jambo hilo limewahi kunikuta nikiwa mwaka wa tatu chuo kimoja huko huko mbeya, niliingia na simu,smartphone kwa bahati mbaya wala sikudhamiria, wakati mtihani unaendelea alarm ilianza kuita na sms zikaanza kuingia, japo ilikuwa baridi sana lakini jasho lilinitoka hasia kwenye viganja, walimu...
  2. K

    Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    umenikumbusha mbali sana, hao watu walikuwa ni hatari sana.
  3. K

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Mimi huwa sipendi kukaa na watu hasa wanaoongea mambo ya kipuuzi, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, utotoni nilikuwa na marafiki ila kwa sasa sina kabisa marafiki. Sipendi kwenda kwenye sherehe za harusi naona ni upuuzi tu, mda mwingine najiuliza kwenye harusi furaha iliyopitiliza inatoka...
  4. K

    Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

    Hii ni hatari sana,sasa usalama wa abiria uko wapi sasa.
  5. K

    ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Sawa, wabadilishe tairi basi, wasisubiri matatizo yatokee ndio waunde timu ya uchunguzi.
  6. K

    Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

    Ushauri mzuri mkuu, nilikutana na kijana mmoja majuzi hapa, yeye ni mfanyabiashara, alinipa ushauri mzuri sana kuhusu uwekezaji kwa mtaji mdogo tu.
  7. K

    Mkasa: Mara ya kwanza kutongozwa na Shoga club na sasa ni mtandaoni

    Balaa,uombe Mungu usije ukaingia kwenye huo mtego.
  8. K

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Marefa wanaharibu mpira wa Tanzania, tuchujue hatua kabla mambo hayajaharibika kabisa.
  9. K

    Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Chapa kazi mwalimu, mmesimamia uchaguzi utashindwaje kusimamia madarasa
  10. K

    Karibuni Ruangwa

    Majaliwa kaitendea haki Ruangwa, Karibuni sana Ruangwa .
  11. K

    Dkt. Mpango: Nilipoachiwa nchi niliogopa lakini nashukuru Rais umerudi na nchi ni salama kabisa

    Kiongozi kwa nini aogope, kiongozi anapaswa kuwa mbele kwa kila kitu hata kiwe cha kuogopesha vipi, kiongozi lazima awalinde raia wake bila woga wowote.
  12. K

    Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    Wapo wengi sana, mimi nilikutana na mtu anaitwa Hellen Williams huko Instagram, akaniambia anahudumu kama Afisa wa jeshi la Marekani huko nchini Syria,akanitumia na picha zake akiwa kazini. Baada ya muda aliniambia amepata kiasi kikubwa cha pesa ambacho amekisafirisha kupitia watoa misaada kama...
  13. K

    Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

    Kulipa kodi sawa ni wajibu wa mwananchi, ila sasa tuangalie hizo kodi na tozo zinamuathiri vipi mwananchi wa hali ya chini,tuoneeni huruma kidogo. Wengine tunatuma hela kwenda account nyingine ili tutoe mishahara yetu maana kadi zilishachukuliwa na wakopeshaji wetu wapendwa.
  14. K

    Kumbe unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu

    Kweli kabisa mkuu, watu wengi ni wapweke sana, hata mimi huwa najisikia upweke sana.
Back
Top Bottom